mtabe kila sekta 2009
Member
- Oct 2, 2020
- 41
- 62
Inategemea na ulipoajiriwa, binafsi mm nmepata mshahara wa mwez huu na kaz Bado sijaanza,na mchakato wa ajira umefanyika mwez huuhuu, na nmeomba ruhusa ya wiki2
Unamaanisha kuwa ulipeleka documents zote znazohtajika mwez huu,na mwez huu umeingiziwa mzgo?Inategemea na ulipoajiriwa, binafsi mm nmepata mshahara wa mwez huu na kaz Bado sijaanza,na mchakato wa ajira umefanyika mwez huuhuu, na nmeomba ruhusa ya wiki2, nikapewa.
Bdo mkuuCheck number umepata??
Kaka bado cjalamba kaka,ila naona kwa sas wanatoa sana tulipiga tarehe 7 Januar, na siku hiyo ndo ilikuwa oral ya TRA so naamin wameshaanza kugusa database ya TRA japokuwa sina uhakika kakaHivi bado mkuu hujalamba asali au sikumbuki vizuri
Yeah mwez huuhuu kila kitu kimefanyika .Unamaanisha kuwa ulipeleka documents zote znazohtajika mwez huu,na mwez huu umeingiziwa mzgo?
Mkuu,Mimi sio jobless nafanya kazi sehemu nzuri tu.
Sema nataka niingie serikalini tu kwa sasa.
Hii imeenda.!!
Unaona italeta unafuu, au kutakuwa na changamotoHii imeenda.!!
Naomba kuuliza...Kaka bado cjalamba kaka,ila naona kwa sas wanatoa sana tulipiga tarehe 7 Januar, na siku hiyo ndo ilikuwa oral ya TRA so naamin wameshaanza kugusa database ya TRA japokuwa sina uhakika kaka
πππNaona watu wa mishahara wamerudi ulingoni tena π π jobless tunawaza lini jina litatokea pdf wemgine wanajdili mishahara dah
Kichwa cha uzi wanakipuuza[emoji23]Naona watu wa mishahara wamerudi ulingoni tena [emoji28][emoji28] jobless tunawaza lini jina litatokea pdf wemgine wanajdili mishahara dah
Hongera sana, Mungu akutangulie ukawe mtumishiwema.Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Kila la kheri, Mungu akutangulie ufanye vizuri na akupe haja ya moyo wako.Wengine tuko BOT dsm,now tunasubiri kuanza uptitude test,dua zenu wakuu[emoji120]
[emoji3][emoji3][emoji3]Halafu yuko pazuri sasa sijui alikutana na machungu gani hapa kuna kitu hakipo sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Umejaza mkataba? Huwezi kupata maokoto kabla ya kujaza mkatabaWakuu,nna suala kidogo mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa kwenye ajira taasisi X na tumeshapeleka barua za utambulisho kwa mwajiri zaid ya wiki mbili zilizopita tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi.Je kwa kipindi hiki ninaweza kuhesabiwa km mwajiriwa na kuingiziwa maokoto mwisho wa mwezi au ndo mpaka pale nitakapopangiwa kituo cha kazi?Utaratibu ukoje kwa anayefahamu please!π
Tehama ina rahisisha mambo mengi sana siku hizi.. japo changamoto zipo.. isije ikawa kama hii ya Rita.Unaona italeta unafuu, au kutakuwa na changamoto