Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,242
Mie madame bana🙏tumekatazwa kusema,wametuambia yalofanyika yameishia pale kwenye hall lao,mtaa wa mirambo🤣Ikaqe kheri kaka kada gani mkuu?
Daah sorry maadam unajua humu shida tunaosota na ujobless wengi sie ni madume humu sasa daah sorry maadamMie madame bana[emoji120]tumekatazwa kusema,wametuambia yalofanyika yameishia pale kwenye hall lao,mtaa wa mirambo[emoji1787]
Zilikuwa nyingi,wachumi,librarian,wathamini, electronic engineers,walinzi hawa walotoka jkt juzikat etc
Tumeitwa watu Kama Mia 200 jumla
Hongera ikawe kheri mamaMie madame bana[emoji120]tumekatazwa kusema,wametuambia yalofanyika yameishia pale kwenye hall lao,mtaa wa mirambo[emoji1787]
Zilikuwa nyingi,wachumi,librarian,wathamini, electronic engineers,walinzi hawa walotoka jkt juzikat etc
Tumeitwa watu Kama Mia 200 jumla
No mie nina ajira tayari,ni senior officer nataka kuhamia bot,ndomana nikaomba.Na kule hata kama ushaajiriwa huingii hivihivi hadi wakitoa nafasi uombe,wakiona cv iko vyema unaitwa kufanya interview kama wengine tu.Yani ni kama unaomba ajira upya 🤣Daah sorry maadam unajua humu shida tunaosota na ujobless wengi sie ni madume humu sasa daah sorry maadam
Maisha hayako fair yaani wenye ajira bado mnaomba ajira.... sasa si mtuachie hizo nafasi na sisi jobless jaman muwe na hurumaNo mie nina ajira tayari,ni senior officer nataka kuhamia bot,ndomana nikaomba.Na kule hata kama ushaajiriwa huingii hivihivi hadi wakitoa nafasi uombe,wakiona cv iko vyema unaitwa kufanya interview kama wengine tu.Yani ni kama unaomba ajira upya [emoji1787]
Mwenye nacho huongezewa 😂😅Maisha hayako fair yaani wenye ajira bado mnaomba ajira.... sasa si mtuachie hizo nafasi na sisi jobless jaman muwe na huruma
🤣🤣🤣Hapana nami natafuta fursa mpya,mbona na ambao hawana wameitwa pia walioomba,kama una vigezo ukiapply wanakuita tuMaisha hayako fair yaani wenye ajira bado mnaomba ajira.... sasa si mtuachie hizo nafasi na sisi jobless jaman muwe na huruma
Watu wengine wahuni tu mkuu usimuamin kila mtu humu jf....mtu senior huku kijiwe cha jobless anatafuta nn kama sio kupigana virungu mchana kweupee 🤭Maisha hayako fair yaani wenye ajira bado mnaomba ajira.... sasa si mtuachie hizo nafasi na sisi jobless jaman muwe na huruma
Acha tu Tunalamba vumbi la kitaa mpaka kitaa Tunasahaulika kama tuliwahi kusoma... kitaa hakusomeki kabisa Tunapigwa vumbi mpaka Machoni tunatia huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana nami natafuta fursa mpya,mbona na ambao hawana wameitwa pia walioomba,kama una vigezo ukiapply wanakuita tu
Sema post niliyoomba si ya kuanza ajira,ni ya senior officer ambayo Nilikuwa na sifa nayo,hakuna junior aliyeitwa kwenye hiyo post kwa wote tulioitwa
Usijal mdogo wangu,muda wako ukifika utapata tu.
🤣🤣Sawa mie jobless mkuu🤣🤣Watu wengine wahuni tu mkuu usimuamin kila mtu humu jf....mtu senior huku kijiwe cha jobless anatafuta nn kama sio kupigana virungu mchana kweupee 🤭
Uko sahihi,,, ujobless ndo unaotusumbua ila tukishauvua tu,,, tutataman vinono zaidMwenye nacho huongezewa [emoji23][emoji28]
IT wa bandika bandua atakua leo kamaliza semina elekezi ko kuanzia kesho tutalajie pdf za maana.IT, Tufungie Usiku na pdf zito la kufutia machozi...
Yaani nimecheka kifala kweli...mamaeee ujobless kitu kibaya kinyama mtu unateseka alaf kufa hufi 😅😅😅IT karibu wali..
Bila shaka ushapata breakfast nzuri na baada ya test umempata lunch nzito hapo nmefanya interview zao mara mbili walau hata usipopata una jambo lao moja la kuwakumbuka hapo Kuna misosi mizito sanaaa ukiitwa usailii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine tuko BOT dsm,now tunasubiri kuanza uptitude test,dua zenu wakuu[emoji120]
Wapunguziwee zipelekwe halmashauri Tgs [emoji1787][emoji1787][emoji1787]BOT, Hazina salary kawaida ila hela za hapa na pale nyingi. Mimi naona kwa serikalini ukitaja giant wa salary
1. CSMA
2. TCRA
3. eGA
4. NIMR
Hawa nafikiri hakuna taasisi yeyote inaowafikia kwa Salary ghafi. Hii ni kwa utafiti wangu mdogo
Mbanti mjibu mwenzako...Jamani vp hizi mamlaka za maji na usafi wa mazingira, malupulupu yapoje au ndo mwisho wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi.
Hawa wana (IT team)wamo humu waanacheka vibaya sana ila wadau mambo yapo mambo yapo amininiYaani nimecheka kifala kweli...mamaeee ujobless kitu kibaya kinyama mtu unateseka alaf kufa hufi 😅😅😅