HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wengine wahuni tu mkuu usimuamin kila mtu humu jf....mtu senior huku kijiwe cha jobless anatafuta nn kama sio kupigana virungu mchana kweupee [emoji2960]


Hakuna tatizo lolote kwa senior officer kuwepo humu. Ameshasema, anatafuta greener pasture.


Nadhani ni vema tukawatumia hawa watangulizi kujifunza kuliko kuwaita wahuni
 
Za ndaaanii... IT yuko PAJE anagida asali nae ( Padiem) msijali vijana pdf litakutoka refuuuu kufidia siku la kuchelewa lkn..😃
 
Za ndaaanii... IT yuko PAJE anagida asali nae ( Padiem) msijali vijana pdf litakutoka refuuuu kufidia siku la kuchelewa lkn..😃
IT yupo kazini bhn leo kwenyewe kapost matangazo kama mawili kwenye call for int...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…