HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona TAA wameanza kuajili wao wenyewe, watoto wa masikini tutakoma tembelea page ya mabumbe uone tangazo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mbona hawa mda mrefu tu hata enzi za mzee walikua wanaajiri wenyewe hzi za mkataba, na hata hizi za sasa ni kazi za temporary na zilishatolewa go ahead kua taasisi zinaeza ruhusiwa ziajiri zenyewe za mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…