Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Umetoka wapi na wwBado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
Huu upuuzi hatutaki kuusikia sisi PSPR tuna Imani na ninyi changamoto ndogo ndogo fanyieni kazi haya mambo ya taasisi kuajiri wenyewe hapanaBado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
KWAHIYO HIZO NDO UPDATE ULIZOKUJA NAZO KUENDELEZA ULIPOISHIA ?Bado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
Yani jamaa sijui katokea wapi.... anatuchanganya tu hata hatumwelewiKWAHIYO HIZO NDO UPDATE ULIZOKUJA NAZO KUENDELEZA ULIPOISHIA ?
Sa si Bora ungeendelea kupotea tu, ni nani huyo aliyekuokota na kukuleta hapa ?
[emoji16] mkuu hujanielewa. Nilichokisema mwisho nimemaanisha vice versa.Umetoka wapi na ww
Kumbe ni mmoja wetu.... Nilijua unataka kutuchanganya tena.... sisi watuachie psrs tu Tutaishi nao ....hizi taasisi zimejaa kujuana sana[emoji16] mkuu hujanielewa. Nilichokisema mwisho nimemaanisha vice versa.
Mi mdau wa psrs labda kama umeniona leo humu.
Taasisi kuajiri wenyewe ni uhuni tu, tuna imani na utumishi.
Mkuu ebu ziba neno langu la mwisho la "bora taasisi ziajiri zenyewe" afu soma maneno yaliyobaki ndo utaelewa niko upande gani. Tuko pamojaHuu upuuzi hatutaki kuusikia sisi PSPR tuna Imani na ninyi changamoto ndogo ndogo fanyieni kazi haya mambo ya taasisi kuajiri wenyewe hapana
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Update inakuja mkuu, sio hiiKWAHIYO HIZO NDO UPDATE ULIZOKUJA NAZO KUENDELEZA ULIPOISHIA ?
Sa si Bora ungeendelea kupotea tu, ni nani huyo aliyekuokota na kukuleta hapa ?
Tuko pamoja comrade, psrs iendelee na majukumu yake hadi siku Yesu anarudi duniani mara ya pili.Kumbe ni mmoja wetu.... Nilijua unataka kutuchanganya tena.... sisi watuachie psrs tu Tutaishi nao ....hizi taasisi zimejaa kujuana sana
Ulitushtua mzee tukajua tayali ushakuwa kibaraka wa BlenderUpdate inakuja mkuu, sio hii
Hahaaaaa , akizingua namzingua π€£π€£π€£π€£π€£usije ukamtukana lknπ maana tunakujuaπππ.
IT achia pdf π₯π₯π₯
Dah tumerud kule kulee spidi y konokonoIT hatujakozoe hivyo..π
Labda wanaotakiwa kufuata barua wanadelay kwenda kuchukua barua zao wanasbbisha wengine wachelewe kupta placementIT hatujakozoe hivyo..π
unatumia lugha ngumu jobless vichwa viko busy na kufikilia asali. π utapaluliwaMkuu ebu ziba neno langu la mwisho la "bora taasisi ziajiri zenyewe" afu soma maneno yaliyobaki ndo utaelewa niko upande gani. Tuko pamoja
Lete Update hiyo mkuuUpdate inakuja mkuu, sio hii
Asante kwa update mwambaUpdate
From tar 1 July to trh 18 Aug watu 1,946 wamelamba asali.
So from 18 Aug to date wameongezeka watu 786, ivo idadi kufikia 2,732.
Therefore, toka mwaka mpya wa fedha umeanza ni almost watu 2,732 wamelamba asali.
Kwenye zile 6,000+ bado zipo wadau, tuzidishe maombi tu, tumebaki na almost nafasi 3,000+