Ndo mambo ya riziki mkuu tuendlee tu kupambana usikate tamaaWengine bench miaka 7 Mpaka tunataman Tupate hata kaz za kufagia alimradi Mkono uende kinywani. Wanaibuka madogo wa juzi tu unawaona kwenye PDF. Stress stress
Sometimes unajipa matumaini maana Kuna kada unakutana nao unakuta hawajawah kuona ajira zao zikitangazwa. Kuna jamaa wamesoma Course inaitwa Law Enforcement ya UDSM pale wanakwambia hawajawah Ona hata Utumishi waliwaita kwenye usaili au wakitangaza kazi zao.Ndo mambo ya riziki mkuu tuendlee tu kupambana usikate tamaa
Hatarii sanaSometimes unajipa matumaini maana Kuna kada unakutana nao unakuta hawajawah kuona ajira zao zikitangazwa. Kuna jamaa wamesoma Course inaitwa Law Enforcement ya UDSM pale wanakwambia hawajawah Ona hata Utumishi waliwaita kwenye usaili au wakitangaza kazi zao.
Kama una received za kutosha n jambo la kumshukuru Mungu
Pole mkuu. Najua ugumu wa kukaa benchi. Wakati nikiwa benchi niliwahi kwenda kuomba kazi NPS wakanishtukia wakidhani mm labda usalama wa taifa. Wakapewa wenye elimu ya chini mm nikaachwa. Usiombe kupigika mtaani kkwa muda mrefu. Hukawii kwenda kuomba kazi ya kuzoa taka halmashauri. Ni balaa!Wengine bench miaka 7 Mpaka tunataman Tupate hata kaz za kufagia alimradi Mkono uende kinywani. Wanaibuka madogo wa juzi tu unawaona kwenye PDF. Stress stress
We unataka placement gani, wakati wenzako wapo makazini ?Tulioomba trc vp jamani naona muda unazidi kwenda tu.... Au majani yameshaliwa na twiga kabla ya kuanguka.!?
Yes kuhama lazima upate nafasi ya kuhamia unaomba pia taratibu nyingine zinaendelea linahusisha pande 3 unakohama,unakohamia na utumishiMi nimebakiza siku 340 ni dhibitishwe kazini alaf mapambano yaendelee kwenye dimbwi la asali,hili swala la kuhama huwa likoje?mpk upaate kwanza nafasi kwenye hiyo taasisi unayoenda(mfn kwa placement)au unahamaje hamaje ndungu?
mkuu bdo sijalamba asaliMwamba mfwende sawadogo bado hawajakupangia kituo chako cha kazi tuu??
Itakuwa ya CDOsPdf itakayowekwa iwe na page 20+ wote tuseme Ameen
Na iwe hivyo mkuuItakuwa ya CDOs
Vumilia mwamba Mimi nilikaa miaka 8 ndio nimepata mwaka huu mwezi wa tanoWengine bench miaka 7 Mpaka tunataman Tupate hata kaz za kufagia alimradi Mkono uende kinywani. Wanaibuka madogo wa juzi tu unawaona kwenye PDF. Stress stress
Tuwe wapole huu mwaka kabla haujapindika jobless wengi humu itakuwa ni kichekoPdf itakayowekwa iwe na page 20+ wote tuseme Ameen
Wizara ya ambayo inashugulika na elimu ya juuWakuu hivi ajira za vyuo vikuu zipo chini ya wizara au halmashauri?
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Hamia TRA mkuuWazee nyie si mnasubiri placement mi nasubiri barua ya kudhibitishwa nianze mapambano ya kuhama hii nchi yetu sote haiwezekani watu wengine wanaogelea asali wengine maji ya chumvi.
Natamani kweli ila ugumu upo na hii kazi niliyonayo nilifanya interview ya tra nikapelekwa sehemu nyingine kama databaseHamia TRA mkuu
Komaa mkuu si una cheki namba now....hamna linaloshindikanaNatamani kweli ila ugumu upo na hii kazi niliyonayo nilifanya interview ya tra nikapelekwa sehemu nyingine kama database