Aisee naona hali ya before katibu kustaafu imerudiMmmh hiki kimya cha PSRS kinazidi kuwa kirefuu. Wakati huohuo wana orodha ndefu ya vijana wanaosubiri matokeo kwa muda mrefu.
IT achia hiyo PDF uliyoletetewa mapema sio lazima upost saa sita usiku.
Achia aysee vijana tunaisubiri.
Dah hiyo ni njia ya kuwapenyeza watu wao kwa sbbu hizo mafasi za kujitolea zenyewe huezi kupata kirahisi kama huna unaemjuaHoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Hii nchi yetu aisee saa nyingine unatamani hata kuhama uhuni mwingi snaa aiseeHoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Watu wamejaa kitaa si waache ajira iwe ushindani hawa nao kero tupuHoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Hyo ikishapitishwa watawekana kiujanja ujanja ndugu zangu watoto wa maskini sijui tuhame nchiHoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Wanazingua kinoma aisee 🚮🚮Hyo ikishapitishwa watawekana kiujanja ujanja ndugu zangu watoto wa maskini sijui tuhame nchi
Waulize kwa namba 0800780078 na 0800 110016. Halafu lete mrejesho hapa wa jibu utakalopewa!! Simu wanapokea fasta tu wala hawana shida na hilo!!Wakuu mzigo wa TRA vipi? Wanaachia lini tukapige paper Hadi oral
Sisi wenyewe humu wasaka tonge mkuu...vuta subira utatoka tuuMkeka wa CDO unatoka lini wa jamani?
msiba mlipataje taarifa wadau maana kwenye web yao hawajaweka kama ule wa mwanzo. ?IT msiba ushaisha usitufanyie hivyo🤣
Ulifanya lini usaili?Mkeka wa CDO unatoka lini wa jamani?
Twitermsiba mlipataje taarifa wadau maana kwenye web yao hawajaweka kama ule wa mwanzo. ?
IT anasema ni zam ya call for interview kwasasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huoni vimulimuli kama vyote upande huo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]IT msiba ushaisha usitufanyie hivyo[emoji1787]
Walipost kwenye pages zao za social mediamsiba mlipataje taarifa wadau maana kwenye web yao hawajaweka kama ule wa mwanzo. ?