PSRS htr sanaIT anasema ni zam ya call for interview kwasasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huoni vimulimuli kama vyote upande huo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siku yoyote kuanzia mwezi huuMkeka wa CDO unatoka lini wa jamani?
N/W Kikwete Bunge liloisha alikuwa anapima upepo kwenye vikao vyao na Taasis" Ninanukuu kauli yake aliyofunga kikao"Ajira ni ushindani"!!!Leo anatuacha mitaa 200 ......Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Kuna ambao wapo internship sasa za mbayuwayu changanya na zako
Hao ni kipindi cha magu waliwafukuza naona sasa walipo wanapoona hoja hiyo wanatamani sheria ipitishwe...Kuna ambao wapo internship sasa za mbayuwayu changanya na zako
Ndo walikuwa wanachukuliwa?Hao ni kipindi cha magu...
Aliwabania Magu...Naona sasa wanapita kwa mlango mwingineNdo walikuwa wanachukuliwa?
Hivi hii degree ya health system management almaarufu kama Bachelor of health system in management fursa zake zinatangazwaga kweli?Hao wanafiti kwenye majeshi kama magereza, Jeshi la wananchi, Takukuru na uhamiaji. Hayo maeneo huwa hawapitii PSRS!! Kwanza barua wanataka uandike kwa mkono wako mwenyewe! na hakuna cha ku-apply online!!
Hivi hii degree ya health system management almaarufu kama Bachelor of health system in management fursa zake zinatangazwaga kweli?Hao wanafiti kwenye majeshi kama magereza, Jeshi la wananchi, Takukuru na uhamiaji. Hayo maeneo huwa hawapitii PSRS!! Kwanza barua wanataka uandike kwa mkono wako mwenyewe! na hakuna cha ku-apply online!!
Mungu ni mwemaBado sijapata tu kazi aiisee mambo ni magumu kweli
Sasa jamani tuelekezeni course ambazo kidogo mtu unaweza para received huko port tusijesoma vitu havina fursa kabisaNyingine hizi hapa
1. Insurance and risk management-IFM
2. Archaeology-UDSM
3. Tax management- Ukikosa kazi TRA baba Jeni bye bye.
Kweli mwamba asikwambie mtu kitaa pagumu mno, japo tumejishikiza private sector lakin kitaa anapafahamu vizur mwamba, kikubwa maombi yaendele ili nasi siku moja majina yatokee kwenye placement.njaaa itaniua kitaa kikali sana ,nimepauka sio mchezo kwa stress.
Ashukuriwe MUNGU napenya hata kama ni kwa mbinde.
Tusikate ,tamaa .
PSRS Wanaharibu mudi za jobless balaa sijui kwa nini hawatoi matokeo kwa wakati yaani miezi zaidi ya nane watu wanasubiri tu matokeo. Hivi hawa jamaa wanakusudia nini ???njaaa itaniua kitaa kikali sana ,nimepauka sio mchezo kwa stress.
Ashukuriwe MUNGU napenya hata kama ni kwa mbinde.
Tusikate ,tamaa .
Hawa watakuwa wamerudi kwenye ratiba yao ya kawaida wakongwe wanaelewa kuwa kila j4 wanadondosha.PSRS Wanaharibu mudi za jobless balaa sijui kwa nini hawatoi matokeo kwa wakati yaani miezi zaidi ya nane watu wanasubiri tu matokeo. Hivi hawa jamaa wanakusudia nini ???
Vijana punguzeni hasira IT hana kosa hapa tatizo lipo kwenye signatureIT sisi ni binadam wenzio hebu kuwa na huruma au weka mkeka kuwa Jambo limekuwa gumu Mpaka January 2024 hapo najua lazima utatukumbuka.
Tuna mengi moyoni IT hebu kuwa na huruma
Ko mpiga signature kaenda likizo au ikoje kiongozi ?Vijana punguzeni hasira IT hana kosa hapa tatizo lipo kwenye signature
Ukiwa huna kitu mfukoni hata nguvu za kiume zinapoteanjaaa itaniua kitaa kikali sana ,nimepauka sio mchezo kwa stress.
Ashukuriwe MUNGU napenya hata kama ni kwa mbinde.
Tusikate ,tamaa .