mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
nilienda kupiga pepa ya mchumi tanroad, yule msimamiz aliuliza hivi huyu aliyopo kwenye picha ni wewe !!Ukiwa huna kitu mfukoni hata nguvu za kiume zinapotea
Dah ! Wameanza miyeyusho tena , speed ya mwezi wa nane hamna tenaHawa jamaa wamegoma kabisa kutoa pdf
Tunataka ile speed kama ya mwezi wa naneHawa jamaa wamegoma kabisa kutoa pdf
Hawa mara nyingi huajiriwa kwenye matangazo ya ajira za afya Tamisemi.Hivi hii degree ya health system management almaarufu kama Bachelor of health system in management fursa zake zinatangazwaga kweli?
Hizo nafasi zake ni makatibu wa afya kwenye hospitals, wanatangaza kwa uchache sanaHivi hii degree ya health system management almaarufu kama Bachelor of health system in management fursa zake zinatangazwaga kweli?
Naona maafisa mifugo wataisha huku mitaani!!Tukaongeze received huko wakuu ziwe za kutosha nimeona kuna tangazo la MDA’s and LGA’s jipya…. Afisa mifugo huu mwaka wao nafasi kama zote zimetangazwa
Mama kaamua awasafishe hawa watu duh ajira kama zoteeNaona maafisa mifugo wataisha huku mitaani!!
Kwaio nafasi mpya za kazi zikitokea zisitangazwe kisa watu wa miezi ya nyuma hamjaitwa kazini?Duh hawa jamaa bhana ata tuliofanya interview miezi ya nyuma hawajaitwa wote kazini, naona wametangaza nafasi nyingine hii imekaaje wadau au tulishaliwa vichwa?
Inatokea mkuu kwa sababu ya uhitaji mkubwa,so usiogopeDuh hawa jamaa bhana ata tuliofanya interview miezi ya nyuma hawajaitwa wote kazini, naona wametangaza nafasi nyingine hii imekaaje wadau au tulishaliwa vichwa?
Nadhani mwamba ujanipata sina maana kuwa wasitangaze nafasi zikitokea, maana yangu ni kwa kada yangu tulifanya usaili wakihitaji watu kadha lakin mpaka sasa hwajaita wote kazi, sasa naona tangazo lingine la kada ileile na wala sio tangazo la marudio.Kwaio nafasi mpya za kazi zikitokea zisitangazwe kisa watu wa miezi ya nyuma hamjaitwa kazini?
Sasa kama walioitwa kazini ndio waliofaulu na nyinyi mliobaki mmekandwa ?Nadhani mwamba ujanipata sina maana kuwa wasitangaze nafasi zikitokea, maana yangu ni kwa kada yangu tulifanya usaili wakihitaji watu kadha lakin mpaka sasa hwajaita wote kazi, sasa naona tangazo lingine la kada ileile na wala sio tangazo la marudio.
Mzee we omba tena huko huko mbele ya safariNadhani mwamba ujanipata sina maana kuwa wasitangaze nafasi zikitokea, maana yangu ni kwa kada yangu tulifanya usaili wakihitaji watu kadha lakin mpaka sasa hwajaita wote kazi, sasa naona tangazo lingine la kada ileile na wala sio tangazo la marudio.