Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Sawasawa mkuu wenda tukawa tumekandwa, ngoja tuongeze received mungu ni mwema wenda uko mbele akafungua njia.Sasa kama walioitwa kazini ndio waliofaulu na nyinyi mliobaki mmekandwa ?
Au kama muajiri hataki watu wa database ?
WEWE NENDA KAONGEZE RECEIVED, UKIITWA KWENYE INTERVIEW KAMA UWEZO UNAO NENDA
Sawasawa mwamba ngoja nikaongeze received.Mzee we omba tena huko huko mbele ya safari
Hiyo scenario mkuu ipo kazi zinatangazwa na wale waliofnya wanapata placement acha wasi wasi lolote linawezekanaSawasawa mkuu wenda tukawa tumekandwa, ngoja tuongeze received mungu ni mwema wenda uko mbele akafungua njia.
Inshaallah mkuu na iwe ivo tupungue kitaaleo mapemaa pdf huenda ikaachiwaaš„š„š„
Nadhani wakifanya hivyo watatoa namna ya kurecruit vijana wa kujitoleaHoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Nafasi ya Katibu wa Kamati mbona mfumo hauruhusu kuiombaSaa nyingine wanaitisha saili kwa sababu database watu wamepungua na uhitaji ni mkubwa haina maana always kwamba walifnya walifeli Mwamba rinyungu
Ila ilihawataki kuliongea kabisa la kuongeza mda wa wakandwaji kukaa database kutokana na ucheleweshwaji wa mchakato wa usail...Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Mambo magumu mkuu kitaa sio poa ila tuendlee kutumaini kwa mwenyezi munguJobless tunaendelea kupigwa vumbi la kiangazi tu.... kila kukicha Tunaamka na Tumaini jipya... kuwa leo haitakuwa kama kesho.
We naye uwe unaelewa mada na si kukurupukaSasa kama walioitwa kazini ndio waliofaulu na nyinyi mliobaki mmekandwa ?
Au kama muajiri hataki watu wa database ?
WEWE NENDA KAONGEZE RECEIVED, UKIITWA KWENYE INTERVIEW KAMA UWEZO UNAO NENDA
Jiandae kudownload pdf. šššš.We naye uwe unaelewa mada na si kukurupuka
Hao watu ni kukaa nao kimya kiongozi....We naye uwe unaelewa mada na si kukurupuka
Aliekuwa tagged ameelewa wewe na stress zako unaandika utumboš¤£We naye uwe unaelewa mada na si kukurupuka
Mwingine nae huyu, mna matatizo gani nyinyiHao watu ni kukaa nao kimya kiongozi....
ndugu zangu,hatuna haja ya kugombanaMwingine nae huyu, mna matatizo gani nyinyi
Wote ni wahanga na Tunaishi na stress na vumbi wote linatuvurugandugu zangu,hatuna haja ya kugombana
naelewa jobless na kupanic nikitu kimojaWote ni wahanga na Tunaishi na stress na vumbi wote linatuvuruga
š¤£š¤£Hatugombani, nawaweka sawa tu vijana maana najua vichwa vyao vishapata moto.ndugu zangu,hatuna haja ya kugombana