Kikubwa ni kujiandaa KISAIKOLOJIA...ukiona TAJIRI anafanya hivyo kuna mawili, HUENDA anataka wengi zaidi...au alionao mezani HAWAJAMSHAWISHI kuendeleanao...š¤£š¤£Hatugombani, nawaweka sawa tu vijana maana najua vichwa vyao vishapata moto.
Mtoa mada anashangaa, inakuaje watu wa kada yake hawajaitwa wote kazini harafu utumishi wanatoa tangazo lingine la kazi au ndo "washaliwa vichwa"?.
Ndio nikamjibu nafasi mpya za kazi zikitoka zisitangazwe, kisa walioomba awali hawajaitwa wote?
Akasema hapana hamaanishi hivyo ila anashangaa kuona kada yake linatoka tangazo lingine ikiwa wale wa mwanzo hawajaisha wote kuitwa kazini kulingana na idadi iliyokuwa inatakiwa.
Ndio nikamaliza kwa kumjibu, utajuaje labda km mlikandwa (kama alivyohisi yeye mwenyewe huko juu) au database mpo ila huyu muajiri hataki watu wa database
Na hapa ndipo tunapopaza sauti "MATOKEO YA ORAL NI HAKI YETU"
Wangekuwa wanatuwekea matokeo, mtu unakuwa unajua ulichokivuna. Mfano mzuri Taesa, kwasasa hivi ukipiga Oral matokeo yako unayaona. Utumishi waige hilo.
HatareeKikubwa ni kujiandaa KISAIKOLOJIA...ukiona TAJIRI anafanya hivyo kuna mawili, HUENDA anataka wengi zaidi...au alionao mezani HAWAJAMSHAWISHI kuendeleanao...
Yeah kweli kabisa, nikuongeza tu received mpaka na sisi tufikiweKikubwa ni kujiandaa KISAIKOLOJIA...ukiona TAJIRI anafanya hivyo kuna mawili, HUENDA anataka wengi zaidi...au alionao mezani HAWAJAMSHAWISHI kuendeleanao...
IT inabidi ipigwe chips kuku kama siku 3 mfululizo šIT ugali tayari..
Acting Katibu anatudonsha jobless aachie mikeka iliyosalia database šLeo wata dondosha mkeka
Upo wapi ?Wazee nyie si mnasubiri placement mi nasubiri barua ya kudhibitishwa nianze mapambano ya kuhama hii nchi yetu sote haiwezekani watu wengine wanaogelea asali wengine maji ya chumvi.
Kama ushapata check number na mshahara unaingia, we vunga utaitwa tu.Bongo bhana just imagine watu wamelamba asali taasis x toka mwezi wa pili baada ya kupeleka information zao zote mpk sasa wanasubiri kuanza kazi hii nchi bila stamina utoboi
Awakuita kada zote kuna kada bado zipo hewani ikiwemo ya accountantLabda kama awakuita kada zote ila me najua watu walishachukua barua tayar na kupeleka TRC , wanangoja kupigiwa cm Ili kwenda kuaza kazi
Kaka hakuna chek namb wala nn yaan na wameongeza idadi ya watu wanazidi kuita kazin kuchukua barua wanapeleke document then hvy watapigiwa simh hadi hv sasa kwahy bila uvumilivuu hii nchi ngumu sanaKama ushapata check number na mshahara unaingia, we vunga utaitwa tu.
Ila kama maokoto hakuna hapo Kuna walaikni.
Kabisa mkuu ,inakera na inachosha Sana , ndio maana kuna wengine huwa wanapata placement na hawaendi hata kureport kwenye vituo vya kazi au hata kwenda kuchukua barua za placement Dodoma , huwezi kukaa muda wote huo kila siku unachungulia kwenye website eti kusubiri placement ,kuna point inafika akili inachoka kabisa na mtu anasahau hata kama alishawahi fanya usahili .Ndio hizo cases za watu kupata placement muda mrefu na hata hawajui kama walishapata hizo kazi .[emoji24]PSRS wanachangia kuharibu uchumi wa vijana na Taifa kwa ujumla.
Vijana tunastress kwa kusubiri hatima yao muda wote wanaingia ajira portal zaidi ya mwaka mzima kufuatilia matokeo.
Huu ni unyanyasaji wa wazi. [emoji24]
VIJANA TUTAFUTE HELA.
IT NA KAT.BU WAKE SIO WATU WETU[emoji23].
Vuta pumzi kidogo.... pole pole boss maana huchelewi kuwakaHaina haja ya wao kukukurupuka na kutuma matangazo ya kazi na kuitisha sahili za halmashauri na taasisi kila siku wakati kuna lundo la kazi za kutoa placement Kwa watu ambao walishahudhuria sahili mbalimbali siku za nyuma na hamjamaliza hiyo kazi .
Njaa ni kali kwa vijana. Na ushindani ni mkubwa sana. Lakini pia ajira ni chache sana hili lipo wazi na serikali inafahamu sasa nafasi chache zinopopatikana serikali inapaswa kujua hizo nafasi zinatolewa macho sana kutokana na hali tuliyonayo so zinatengeneza uchu mkubwa sana kwa vijana.Kabisa mkuu ,inakera na inachosha Sana , ndio maana kuna wengine huwa wanapata placement na hawaendi hata kureport kwenye vituo vya kazi au hata kwenda kuchukua barua za placement Dodoma , huwezi kukaa muda wote huo kila siku unachungulia kwenye website eti kusubiri placement ,kuna point inafika akili inachoka kabisa na mtu anasahau hata kama alishawahi fanya usahili .Ndio hizo cases za watu kupata placement muda mrefu na hata hawajui kama walishapata hizo kazi .
Hii ni unfair kabisa ,ndio maana tunapiga kelele watoe placement haraka ,kama kazi hazina uharaka ni bora wasitangaze kabisa , wasubiri mpaka uhitaji uwepo .
Na issue ya data base wafanye ijulikane kabisa kwenye profile kama mtu kafanya isahili na kuingizwa kwenye Data base au la .
Kinyume na hapo ni kupotezea watu nauli ,muda na efforts .
Wafanyie kazi hizo issues.
Nashindwa kuelewa ni kwanini tunakuwa na taasisi na watu wanalipwa mishahara mikubwa kuziongoza na wanashindwa kufanyia kazi vitu vidogo kama hivyo , hii ni aibu .
Kila siku wanaandikiwa na kuambiwa complaints Ila hawabadiriki