HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah inasikitisha sana.
 
Sio poa mkuu dah naona kuna jambo linakwamisha michakato pale psrs sio kwa ukimya huu
Kikubwa ni kuwa na uvumilivu tu mkuu na kuendelea kuji keep busy na other issues usiwe unaweka much expectations kuhusu pdf pdf pdf itakuwa inakuumiza sana kila unapoona haijatoka u just relax mambo yatajiset
 
Wewe ulifanikiwaje mkuu kuacha kuwaza pdf muda wote...em tusaidiane kushare experience au ndo ukishalamba asali automatically unakua unaona wanaowaza pdf kama vile wazembe flani ivi ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ