Hapana mkuu siwezi kuona wanaowaza pdf ni wazembe ni sahihi kuwaza pdf koz mtu umefanya interview so automatically unakuwa curious kujua… ila kufanikiwa kuacha pdf muda wote labda uwe tu unaji keep busy uwe na other issues za kufanya lasivyo utakuwa na stress sana mkuu kusubiria pdf ambayo hujui kama umo au haumoWewe ulifanikiwaje mkuu kuacha kuwaza pdf muda wote...em tusaidiane kushare experience au ndo ukishalamba asali automatically unakua unaona wanaowaza pdf kama vile wazembe flani ivi 😅
😅😅😅 hapana mkuuMuda si mwingi ataanza kusema Vijana mjiajiri
[emoji28][emoji28].PSRS naomba mtuite kwa interview tulo kuwa na received za mwezi wa sita.
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Wengi ktk wabongo hua hatukumbuki wenye njaa pindi tunapokua ktk neema mkuu ndio maana wengine wale psrs wana lugha mbovu mbovu ubabe usiokua na maana kwa sbabu wana shibe[emoji28][emoji28].
Hawa jamaa wanavyokula per diem na extra duty pale Dom naona hawakumbuki kabisa kama kuna watu tuna kula 'majani'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu acha tuzidi kuomba mungu atupitishe ktk kipindi hiki kigumu tusahau na sisi habar za psrs na pdf zao 😅Hapana mkuu siwezi kuona wanaowaza pdf ni wazembe ni sahihi kuwaza pdf koz mtu umefanya interview so automatically unakuwa curious kujua… ila kufanikiwa kuacha pdf muda wote labda uwe tu unaji keep busy uwe na other issues za kufanya lasivyo utakuwa na stress sana mkuu kusubiria pdf ambayo hujui kama umo au haumo
😄Amina mkuu na iwe hivyo Gavano23Sawa mkuu acha tuzidi kuomba mungu atupitishe ktk kipindi hiki kigumu tusahau na sisi habar za psrs na pdf zao 😅
Mimi Nina received za 2018, 2019 kada Investigation Officer na Registration Officer RITA na NIDA. Ila naona received hzo hzo wameita watu kazini Bila kufanyisha interview . Watatuua hawaPSRS naomba mtuite kwa interview tulo kuwa na received za mwezi wa sita.
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Dah hizo zishakua historia mkuuMimi Nina received za 2018, 2019 kada Investigation Officer na Registration Officer RITA na NIDA. Ila naona received hzo hzo wameita watu kazini Bila kufanyisha interview . Watatuua hawa
Watakuwa wamechukua kwenye data base!! Ndio maana ni mhuhimu sana kutoboa oral ili mtu utinge kwenye data base. Kuna watu walishajisahaulia lakini ghafla mtu anapigiwa simu na jamaa zake kuwa wameona jina lake kwenye placement, wakati mwenyewe alisha acha hata kufuatilia!!Mimi Nina received za 2018, 2019 kada Investigation Officer na Registration Officer RITA na NIDA. Ila naona received hzo hzo wameita watu kazini Bila kufanyisha interview . Watatuua hawa
Tatizo matokeo ya oral yanachelewa sana mamiezi zaidi ya tisa 9 yaani hawa jamaa wanaboa sana.Watakuwa wamechukua kwenye data base!! Ndio maana ni mhuhimu sana kutoboa oral ili mtu utinge kwenye data base. Kuna watu walishajisahaulia lakini ghafla mtu anapigiwa simu na jamaa zake kuwa wameona jina lake kwenye placement, wakati mwenyewe alisha acha hata kufuatilia!!
Wangekua wanatoa tu notification ujue status yako baad ya kufanya oral dah sio poa unasbria jambo usilolijua uhakika wake mwaka mzima sio poa kbsaaTatizo matokeo ya oral yanachelewa sana mamiezi zaidi ya tisa 9 yaani hawa jamaa wanaboa sana.
kwani matokeo si haki yetu hawa jamaa mbona wanayakalia shida nini ???????
Jamani wenzangu pesa za kujikimu ilichukua muda gani maana dah hali tete
mr tutor vp mkuuTanganyika inabeba mzigo mkubwa sana Taasisi zote za Muungano ikiwemo jeshi na polisi inalipwa Tanganyika. Zanzibar hatoi shilingi moja.
Labda inategemea na taasisi mbona wengine tumeripoti na kuanza kaziKuna ambao wapo toka mwez wa pili na kuna sie wengne wa mwez wa 7 na 8 tumeongezwa kwenye foleni
lakini si unalipwa kama kawaida au??Mim nimelamba asali mwez wa 7 nipo lkn nipo mtaan na barua yangu nasubri kuanza kazi so am talking from experience lkn lets not expose hio taasis ila maisha ndo hayo wakuu serikali yetu hii tujue kuishi nayo tu
Hapan ni tunasubiri kuanza mafunzo ya jeshi la uhifdhi so hatujasain chchte tumeambiwa tu tutaarifiwa wakiwa tyr so hakuna jinsi tuko na barua zetu mtaalakini si unalipwa kama kawaida au??
maana kuna taasis zingine unakua unasubiri kupangiwa kazi huku mshahara unaingia kama kawaida.lakini si unalipwa kama kawaida au??
ahaa hapo muhimu dua tu kiongoz.. muda utafika tuHapan ni tunasubiri kuanza mafunzo ya jeshi la uhifdhi so hatujasain chchte tumeambiwa tu tutaarifiwa wakiwa tyr so hakuna jinsi tuko na barua zetu mtaa
Yeah mkuuahaa hapo muhimu dua tu kiongoz.. muda utafika tu