Nyie mpo bado sana,mpk TANAPA aite watu interview, placement zitoke ndo wote TFS,NCAA,TAWA na TANAPA muende mlele kwa pamoja,i think Kati ya January au March 2024Hapan ni tunasubiri kuanza mafunzo ya jeshi la uhifdhi so hatujasain chchte tumeambiwa tu tutaarifiwa wakiwa tyr so hakuna jinsi tuko na barua zetu mtaa
Kwema mkuu, DUCE bado wamedindamr tutor vp mkuu
Bado mwendoo upo sana aseeNyie mpo bado sana,mpk TANAPA aite watu interview, placement zitoke ndo wote TFS,NCAA,TAWA na TANAPA muende mlele kwa pamoja,i think Kati ya January au March 2024
Htr sanaNyie mpo bado sana,mpk TANAPA aite watu interview, placement zitoke ndo wote TFS,NCAA,TAWA na TANAPA muende mlele kwa pamoja,i think Kati ya January au March 2024
Dah haya misha subira ni ngaoKwema mkuu, DUCE bado wamedinda
japo subira ni chungu.Kwema mkuu, DUCE bado wamedinda
umeongea vyema Chief..Wana mnaojadili ishu za mishahara ingekua vyema muanzishe uzi wenu special kwa ajili hiyo...huku mnatuvuruga tu akili wazee...watu tuko kitaa tumepauka hatujui hatma yetu na psrs naona kama hamtutendei haki
Ila mshahara si wanapokea?Bongo bhana just imagine watu wamelamba asali taasis x toka mwezi wa pili baada ya kupeleka information zao zote mpk sasa wanasubiri kuanza kazi hii nchi bila stamina utoboi
Hilo linategemeana na mwajiriJamani wenzangu pesa za kujikimu ilichukua muda gani maana dah hali tete
Aloo🥲Hilo linategemeana na mwajiri
Wakojani vichwa flat wanatuvuna Sana , yawezekana hata kasi ya kuajiri serikali kuu ingekuwa kubwa kama si hawa wakojani kuvuna maokoto ya bure bure toka serikali kuuTanganyika inabeba mzigo mkubwa sana Taasisi zote za Muungano ikiwemo jeshi na polisi inalipwa Tanganyika. Zanzibar hatoi shilingi moja.
Amina[emoji120]Nawaombeeni wana, ili Mamasta wa humu wote tulambe asali, Mungu atawabariki tu..IT rudisha ule MOTO wako wa JULY na AUGUST tafadhali...
Hatujakuzoea hivi BOSS WETU..nini SHIDA?
Mkuu acha tu,Si majeshi si huku Utumishi,Yaani ni mwendo wa ndoige.daah utumishi wamegomesha au, yaani kitaa kina toa demo ya kufa mtu.
watu tumekua role model wa msoto
toeni mikeka wazee, njaa ni kali mno
Acha tu bro hatari sanaa,psrs kimya hiki daah sio poa naona tumerudi kwenye mwendo wa kitenge sasdaah utumishi wamegomesha au, yaani kitaa kina toa demo ya kufa mtu.
watu tumekua role model wa msoto
toeni mikeka wazee, njaa ni kali mno
Inahusianaje na swali lililoulizwa acha roho mbaya itakutafuna.Tanganyika inabeba mzigo mkubwa sana Taasisi zote za Muungano ikiwemo jeshi na polisi inalipwa Tanganyika. Zanzibar hatoi shilingi moja.