Endeleea kupambana na kazi za shahadaAmina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiii
Kuna jamaa mmoja ana degree Ila baada ya kukandwa sana aliingia NIT akachugua gamba la driving. 2020 akapata ajira TANESCO kama dereva.Endeleea kupambana na kazi za shahada
Mfumo wa kutoa vyeti walishaufuta zamani kwa sababu kulikua na usumbufu watu walikua wanapiga kuanzia za chet hadi shahada.
Kitu kingine kilichosababisha ule mfumo ufutwe ni mtu alikua na degree then anaomba kazi za chet akifika kazi anaanza kusumbua kupandishwa cheo.
Sikuhizi naona wako very strict kuna mchizi alichomolewa kwenye mstari wa kusubiria kuingia kwenye chumba cha oral kwa kesi kama hii (alifanya interview ya diploma akiwa na received ya kazi za degree) akawa amepoteza muda na nauli bure
Labda ilikua before hawajafuta utaratibu kwa kuomba kazi za ngazi ya chini ikiwa wew una elimu ya juuKuna jamaa mmoja ana degree Ila baada ya kukandwa sana aliingia NIT akachugua gamba la driving. 2020 akapata ajira TANESCO kama dereva.
Nadhani Itakua wanakagua kwenye mfumo maana kwenye Oral ukifika pale mlangoni unamkabidhi secretary vyeti ana ingia navyo ndani inaeza chukua dk 2 au 3 ndio unaingia kwa uzoefu wangu wa oral sijui wengine kama wanaingiaga direct.walijuaje? Kwan wanakaguaga kwenye mfumo mkiwa mnasubiria oral interview au wanakagua vyeti tyuu?
It makes sense 👍👍👍Nadhani Itakua wanakagua kwenye mfumo maana kwenye Oral ukifika pale mlangoni unamkabidhi secretary vyeti ana ingia navyo ndani inaeza chukua dk 2 au 3 ndio unaingia kwa uzoefu wangu wa oral sijui wengine kama wanaingiaga direct.
KUMBUKA: Utumishi wana link zote kuanzia Necta,Nacte & Tcu.
Kuna kitu hakipo sawa pale psrs sio bureUkimya huu wa PSRS kuna jambo!!!!!
Mungu tusimamie ....
Hapana sio wanaangalia kwenye mfumo .pale mkishapita kwenda oral zile document zenu zote za ajira portal zinakuwa printed day before interview kwahiyo pale ukishapeleka vyeti huwa wanafananisha kama zile document ndo zenyewe na zile document then wanaangalia hiyo nafasi inahitaji hizo sifa ulizonazo ndo unaitwa uingie ndani pale hakuna cha mfumo paleNadhani Itakua wanakagua kwenye mfumo maana kwenye Oral ukifika pale mlangoni unamkabidhi secretary vyeti ana ingia navyo ndani inaeza chukua dk 2 au 3 ndio unaingia kwa uzoefu wangu wa oral sijui wengine kama wanaingiaga direct.
KUMBUKA: Utumishi wana link zote kuanzia Necta,Nacte & Tcu.
Makofia katupotea gafla......angekuja na mapya ya hukoKuna kitu hakipo sawa pale psrs sio bure
Chamuhimu check number hiyo pesa utapata tu unaweza kukopa kwa mtu ili uendelee kuishi usife na njaa😂😂😂😂Jamani wenzangu pesa za kujikimu ilichukua muda gani maana dah hali tete
Watoe tu hata page 20 watu wapungue kitaa database imejaa nyomi waisafishe tuPDF ikidondoka sidhani kama itakuwa chini ya page 10.
Hii nchi haieleweki Msemaji wa Serikali Kasema Tanzania Imejiandaa Kuilisha Afrika. Huku Balozi wa Japan kasema Wametoa Msaada wa Fedha kwa ajili ya Chakula kwa Serikali ya Tanzania. Hawaelewekikwahy database yao ni mwaka gani au ndo ile Kauli ya N/W inatekelezwa kabla haijapitishwa..
Mungu atusaidie kuna usili mkubwa sanaa PSRS
Me nipate tu salary mana wakichelewesha na hyo ntaaibika miji ya watu hii[emoji1787]Chamuhimu check number hiyo pesa utapata tu unaweza kukopa kwa mtu ili uendelee kuishi usife na njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko wapi tukupatie hifadhi[emoji3]Me nipate tu salary mana wakichelewesha na hyo ntaaibika miji ya watu hii[emoji1787]
Hifadhi nmepata,tabu kwenye msos na nauli,hatar sana,inabd nzoee pasi ndefuUko wapi tukupatie hifadhi[emoji3]
Au kuna mtu kamkwaza IT?Duh hawa jamaa wameamua kukaza kabisa ?