HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mkuu hii ni automatic reply confirmation. tumezizoea sana cc watafutaji wa ajira
 
Noma jamaaa wameandika barua za madai tarehe 1 zifike Halmashauri Leo wadau account hazija cheka
Waandike barua rasmi kwa mkurugenzi wa halmashauri, kupitia kwa mkuu wa Idara ya kukumbushia kuhusu madai yao!! Usitumie muda mwingi kuulizia kwa maafisa utumishi kwa mdomo!!. Ila Barua isiwe ya kulalamika na kushutumu (hata kama unastahili kulalamika, makazini kuna hekima yake) bali kukumbushia. Halafu unatulia, ukiona kimya baada ya muda unaandika tena!! Wakati mwingine wakurugenzi huwa walishaidhinisha malipo, lakini watu wa kati kama maafisa utumishi na wahasibu huamua kusubirisha malipo wakiwa na mategemeo kuwa wahusika watawafuata wakiwa na kitu kidogo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…