HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Shukrani mkuu niaba wajipe muda ....... maelekezo ilikuwa tarehe 1 mwez huuu dogo Ali submit barua waliombwa waandikwe pamoja na barua ya madai ya mshahara wali mcheleweshea
 
Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
 
NMB mbona kama ni government iyo?
 
Tumia akili kabla ya kuandika comment .
Mbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? Hama NCHI

Sijasema kwa nia mbaya nimekutafakarisha Ila kwa kua kisu kimegusa mfupa ndio unaanza kuona nimeuliza vibaya ingawa sijauliza vibaya ni swali fikirishi na linakupa morali ya kupambana
 
Awahi chap wizarani aisee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…