Acha ubishi wewe. Usijeitwa Oral ukaanza ubishiMbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? Hama NCHI
Sijasema kwa nia mbaya nimekutafakarisha Ila kwa kua kisu kimegusa mfupa ndio unaanza kuona nimeuliza vibaya ingawa sijauliza vibaya ni swali fikirishi na linakupa morali ya kupambana
[emoji120][emoji120][emoji120]Wafilipi 4:6
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
ajenda haisogei bila pdf mkuu. Shuhuda ndo mpango wa mjiniπππ.Jobless tuacheni maneno ya kanga njooni tusukume ajenda pamoja, hongereni pia mnajitegemea msiwaseme wenzenu vibaya.
IT Yuko busy na call for interview ππajenda haisogei bila pdf mkuu. Shuhuda ndo mpango wa mjiniπππ.
Kazi na dawa
Aisee hiki kimyaa daah kinatia mashakaIT Yuko busy na call for interview ππ
IT anaperuzi kwenye web naona katupia call for interview udom, Mzigo( pdf) inaweza dondoka muda si mrefu, TUMUOMBA MWENYE KUTOA RIZIKI IT apress button.IT Yuko busy na call for interview ππ
Mimi tena hakuna interview ambayo napotezaAcha ubishi wewe. Usijeitwa Oral ukaanza ubishi
Leo hamna dalili mkuu maybe next week hyooIT anaperuzi kwenye web naona katupia call for interview udom, Mzigo( pdf) inaweza dondoka muda si mrefu, TUMUOMBA MWENYE KUTOA RIZIKI IT apress button.
Next week ipi?Leo hamna dalili mkuu maybe next week hyoo
Wewe ni ***** we mtoto wewe , una nifahamu mpaka uandike huo ufala ulioandika ? , Jiangalie ,utakuja potea .Mbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? Hama NCHI
Sijasema kwa nia mbaya nimekutafakarisha Ila kwa kua kisu kimegusa mfupa ndio unaanza kuona nimeuliza vibaya ingawa sijauliza vibaya ni swali fikirishi na linakupa morali ya kupambana
Jamaa Kawa kimya sana aisee ,sijui nini kimemkuta ,IT Yuko busy na call for interview [emoji23][emoji23]
Hujui next week mzee au hujaelwa nini hapo faza?Next week ipi?
Hopefully ataendeleza ile kasi ya bandika bandua kama ya mwezi wa naneIT anaperuzi kwenye web naona katupia call for interview udom, Mzigo( pdf) inaweza dondoka muda si mrefu, TUMUOMBA MWENYE KUTOA RIZIKI IT apress button.
IT akifungulia mwezi huu anang'oa koki kabisa ππππ jobless nikuogelea asali tuπππππ.Hopefully ataendeleza ile kasi ya bandika bandua kama ya mwezi wa nane
Aisee ango'e koki kbsaa tulambe asali kotaa sio poaaa kbsaIT akifungulia mwezi huu anang'oa koki kabisa ππππ jobless nikuogelea asali tuπππππ.
Kabisa mkuu ,ile kasi ilikuwa inaleta hope sana mazeeeIT akifungulia mwezi huu anang'oa koki kabisa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jobless nikuogelea asali tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unajua kasi ya kutoka mikeka ikiwa kubwa ni jambo jema sana hata usipopata kama uko Data base inaongeza kasi ya kufikiwa na wewe kukumbukwa ,Aisee ango'e koki kbsaa tulambe asali kotaa sio poaaa kbsa
Leo kunaweza kukawa na jambo IT katuandaa kisaikolojia kwa kutupia call for inter... si unajua ni muda sasa hutadownload pdf . So kaa kwa kutulia.Leo hamna dalili mkuu maybe next week hyoo
UhakikaIT akifungulia mwezi huu anang'oa koki kabisa ππππ jobless nikuogelea asali tuπππππ.