HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tulia wewe tukupake Parachute sio unapayukapayuka tu humu soma title pale juu
 
Mpk leo hajaenda kusain mikataba? Maana trh 28 wameitwa Dom,Nipe jibu kabla sijashauri.
 
..........Mwambie dogo aende Wizarani huku private kuna pressure za ajabu sana!! na kufukuzana kazi nje nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…