HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Chawa hahaaa!
 
Wajumbe naulizia maslahi kwenye vyuo vya serikali UDSM, UDOM, SUA, MZUMBE. Ukiondoa salary kuna maokoto mengine kama housing allowance kwa watumishi au pangu pakavu. Nisaidieni kuulizia kwa jamaa zenu.
Duce wametoa za ndanindani nini mtaalamu??? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Vipi mkuu kuhusu wanyamapori ?
 
Naona ile 1700+ kutoka database imeshakamilika sas wanaanza upya kukusanya nyomi tena database
Duh!!hii inshu waitizame kwa jicho la tatu Mama(rais)....
Waachie pdf la database tupu kama alivyoosema Waziri Mhagama....
Tunazidi kuwaombea mbele ya Mungu Utumishi +Taasisi busara iwepo....
Kwenye placement 6000+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…