HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unakuwa kama sio msomi just speak with the Facts .

Unadhani ni rahisi kwa hilo unaloliwaza
Mwamba tuliza munkari, humu wote tunaongea lugha moja, ndomana tupo ambao tayari Mungu ametubariki tumetokea kwenye pdf, lakini bado tupo humu kuwapa faraja jobless, humu kuna jokes nyingi, ilimradi kuwapunguzia wana stress, kuna vibwagizo kibao kama "IT MTU WETU,...#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU....so take it EASY BRO.
 
Bado hakuna kitu naona kama huu mzigo umefutwa na ukizingatia DUCE ilitajwa miongoni mwa taasisi zisizoingiza mapato serikalini. Wakuu wote wa taasisi zisizoingiza mapato waliambiwa wakajitafakari kama wanatosha
Mkuu una list ya taasisi hizo zisizo ingiza mapato serikalini? Ama wapi naweza ipata list hiyo?
 
Aende Wizarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…