HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wanaish kwa story za vijiweni. Hatuangalii ukubwa wa mshahara, tunaangalia uwepo wa posho za kutosha
 
Mkuu unahisi mtu akiwa Mwalimu utasema anafanya kazi TAMISEMI au mtu akiwa anafanya kazi TRA utasema anafanya kazi wizara ya fedha??
 
Kijana akiona wizarani TGS D anajua ndio iyo iyo

Inshort asali inamwagika vibaya mno.
 
Bado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
Tayari miezi mitatu ilishapita. Deadline ilikuwa tarehe 09/06/2023. kwa hiyo miezi mitatu iliishia tarehe 09/09/2023.
Ukipiga wanakuambia wahusika watakaokuwa shortlisted watajulishwa kwa email. Ukiona hujataarifiwa kwa email ujue haujafanikiwa!
 
Hatari sana, ni mwezi mi3 sasa na siku 3 imekata. Huo uchambuzi yakinifu unaofanywa sio mchezo, panga linapita huko shwaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…