Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
Kuita saili sio ishu ishu placement 🤣🤣 maana kunahusisha mpungaNawaza tuh,
Yaan hizi PDF za kuitwa watu usaili ni ndefu sana,
Ndo hata kuitwa watu kazini wange kuwa wanatoa mi PDF kama hiyo, yaan huu Uzi ingekuwa ni sehemu ya kupongezana tuh.
kitambo sana niliacha kupoteza muda, kama ufahamu kuna watu wanautumia huo muda wa wewe unaopoteza kutafuta ajira kukuchapausikate tamaa kijana
Mungu wao ndio wako pia!
Ingia kwenye website yao wametoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Ni nyomi ya kufa mtu!! Wameitwa kwa maelfu!!Duhh kwahiyo ambao hutajapata email mpaka sasa ndio basi tenaaa
nishazi la kufa mtu kudadekHapa TRA wanataka wakatupige picha na kutuweka kweny headline za magazet tu...ila haina mbaya
Shukrani sana mkuu nimeonaIngia kwenye website yao wametoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Ni nyomi ya kufa mtu!! Wameitwa kwa maelfu!!
Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!Wasaka tonge leteni mrejesho wa kuitwa TRA.
Ngoja tupambane aisee, sio kwa lile nyomi, ila nao wanadatabase kama ya PSPR kweli hawajamaa ?Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!
Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!
Vp mwamba uliomba tra?Nasikia tra wanaita watu uko via email
Siyo mbaya akiwahoji. Ajibu email waliyomtaarifu kuwa hajawa shortlisted kwa kuwaomba walitazame upya suala lake, kama kweli ana uhakika kuwa kuna aliowazidi lakini wameitwa kwenye usaili!Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.
Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.
Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
Awacheki wenda wakamfikilia kwenye majina ya nyongeza.Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.
Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.
Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
Hata kwangu pia sizioniHizo namba za usaili mnazichukua wapi mazee, nmeingia huku sioni kitu
Au ndo mamb ya copy and paste kutoka kwenye matangazo ya utumishi?
Ngoja tusubiri muongozo labda wengne wamepata.Hata kwangu pia sizioni
TRA inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023Naomba kuuliza hivi kote usaili wa TRA ni wa Oral tu eh?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app