Sawa the issue is mbona wameeeka tarehe moja tu ndo naulza apoTRA inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023
mpaka 09 Juni, 2023 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia tarehe ...
Key word hapo ni hatua mbali mbali. Means kuna hatua zaid ya 1.
Tarehe ya pili itatajwa after matokeo ya hatua ya kwanza,,Sawa the issue is mbona wameeeka tarehe moja tu ndo naulza apo
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Baba jeni bye bye😂😂😂😂Kuna jamaa yangu kwenye WEB; inasoma SELECTED FOR ORAL,,, APP; NOT SELECTED FOR ORAL hapo imekaaje?
😂😂😂😂Kuna vanguard hiyo ni balaaSorry mkuu, nilikuwa namboost mzee mwenyewe Wizy maana ndio mambo yake hayo tangu enzi zake humu alipokuwa kwenye battle
Hapo kimeumana tu ndo uhalisia wenyewengoja mr wizy aje akupe mwongozo wa hiyo status!
Kwani TBC kuna asali pale bamaga??!🤭Sio wizara zote na sio watumishi wote. Kuna jamaa ameondoka huko wizarani kahamia TBC
Mchakato wa ikama na utokaji wa vibali upoje?Umeongea kama layman kabisa. Clearly hauna idea an mchakato wa utokaji wa ikama na vibali vya ajira.
Wengi wameachwa vigezo walivyo tangaza na walichofanya tofauti, kwanza kuanzia mfumo wao umekaa ovyo unahitani marekebisho ili iwe rahisi kuomba ajira. Nibora wawe wawazi kwamba wanataka vigezo kadhaa kuliko kukata majina watu bila reason ya msingi na mtubkafuatabutaratibu wote .Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.
Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.
Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
UwekweNashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!
Data base TRA unadhani hiyo ni utumishi,taratibu zinawaruhusu kufanya hivyo hasa mwaka huu nakuendelea, maana wao wamekasimishwa ila usitegemee utoke kwenye data base wakati kuna watoto wao wapo hapo miaka na miaka.Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!
[emoji21][emoji21].....Utasikia mwakan imerudi utumishi...wanapokezanaData base TRA unadhani hiyo ni utumishi,taratibu zinawaruhusu kufanya hivyo hasa mwaka huu nakuendelea, maana wao wamekasimishwa ila usitegemee utoke kwenye data base wakati kuna watoto wao wapo hapo miaka na miaka.
.............Poleni sana, Ingekuwa Sekretarieti angefuatilia akaongezwa kwenye usaili, ila huku ndio ishaisha hivyo.Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.
Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.
Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
Hatuna jinsi ya kufanya .....Zaidi ni kumtanguliza Mungu na kujiandaa ....Kwa izi za TRA tutegemee kusikia mengi wale wa kujitolea, internship hao tayari washasign mikataba ya kudumu, bado wale tumetumwa na mjamba, sijui dada kaniagiza hao nao watalamba asali bila pingamizi, sasa tusubirie izo gombania goli nawahakikishieni wataziuza nahakika pesa zitatembea, afadhali ya PSRS
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu na mchapa kaziWakati wa Mungu ni wakati sahihi,
Nami nlikua mmoja wa wasioamini katika Database, Hatimae database hio imenitoa baada ya miezi zaidi ya 10 tangu nifanye Oral,
Tuamini katika bidii zetu na zaidi katika wakati wa Mungu
Amina beother , Mungu ni Mwema sana , Wakati wake ni sahihi mda woteHongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu na mchapa kazi
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaWakati wa Mungu ni wakati sahihi,
Nami nlikua mmoja wa wasioamini katika Database, Hatimae database hio imenitoa baada ya miezi zaidi ya 10 tangu nifanye Oral,
Tuamini katika bidii zetu na zaidi katika wakati wa Mungu