Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Safi sana mwamba kwa mwongozo umetisha.
 
Hatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.

Mapambano yaendelee
Hongera kada gani mkuu
 
Kuna halmashauri moja hiv iliwapigia siku vijana wqkaripot mwez wa nne,kabla hata Psrs hawajatoa majina,vijana wakafata barua zao na kwenda kuripot,barua ikiwa ya mwezi wa nne, leo hao vijana wameshachukua mshahara wa tatu Sasa,Leo ndo PDF Yao imetoka wameitwa kazin,😁😁😁
 
πŸ˜… hii imekaaje kitaalam mkuu
 
Hatari sana.
 
Hatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.

Mapambano yaendelee
Hongera sana mkuu hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
 
Mkuu pamoja na izo changamoto hongera sana kwa kulamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…