Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 295
- 561
hakika ngoja tuendelee kubebelea SUBIRA
Sahihi kabisa cha msingi ni kupata check numberSasa hivi asali ni kupata kazi haijalishi umepata taasisi gani maana maisha ya kusota nyumbani bila ya kazi ni magumu kweli
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
ni kweli kwa kuwa tupo ulingoni tutawakalisha PSRS hata round ya mwishooKabisa aise me mwenyewe jana nimeangukia pua TANROAD nimeumia ila hakuna jinsi lazima mapambano yaendelee
Ole wako Blender akusikie.....Yani bora PSRS wangeendelea na mchakato wa ajira za TRA tuu ingekua vyema zaidi
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaHatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.
Mapambano yaendelee
UTUMISHI si mlisema mda mwing mkaanzish uziKuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Tuendelee mkuu kuvuta subira mambo ngumuubado jamaa angu. Pdf ndefu lakini jina silioni.
Aisee hatari sanaa dahKuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Duh washawatolea matokeoo tyrKabisa aise me mwenyewe jana nimeangukia pua TANROAD nimeumia ila hakuna jinsi lazima mapambano yaendelee
Watoto wa wakulima ndo byebye kwenye tasisi nzuriUTUMISHI si mlisema mda mwing mkaanzish uzi
Duh washawatolea matokeoo tyr
Mtoto wa mkulima Kupata kwenye taasisi ndo bye bye hiyoAisee hatari sanaa dah
Dah kbsa mkuu maana hata huko kujitolea na mikataba huez kupata kirahisi rahisiWatoto wa wakulima ndo byebye kwenye tasisi nzuri
Aisee pole sn mkuu tuendlee kupambanaEeh jana usku
Angalia vizuri we jamaa mbona kama nimeona jinalako๐๐คฃ๐๐bado jamaa angu. Pdf ndefu lakini jina silioni.
๐๐๐๐ jobless hatuelewi tutakuvuruga.Angalia vizuri we jamaa mbona kama nimeona jinalako๐๐คฃ๐๐
Ile iliyofanyika TIA mwezi uliopita au kuna nyingine?Eeh jana usku
Thank you, Auditor bossHongera sana,kada gani uliomba?
Ahsante sana kakaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya