CDOs wanaupga mwing sanaHongereni vijana mna jambo lenu kwenye halmashauri huko mkawe waadilifu
Tunasbr shuhuda tu hapaHongera sana CDOs mliopata mrija kwenye mkeka huu.
BTW ukitaka kuona utofauti wa asali tuwatafute hawa wa halmashauri na hao wa TANAPA after 3 yrs.
Kuja kumaliza idadi yenyewe mpaka waliopo data base mda wao utaishaCDOs wanaupga mwing sana
Tembelea email yako mkuuWadau
Naomba kuuliza
Matokeo ya written TRA yanatoka lini?
Lini wanaita oral?Tembelea email yako mkuu
Wanadai kuwa wanafanya maboresho soon mtu utakuwa unajijua uko database au umepigwa ndoige!!!Wafute ukomo wa Database yao.....Wafanye kama TAMISEMI ....
Ajira zenyewe mwaka hadi mwaka
Nyingne? IT mtu wetu sanaKuna pdf huko
CDOs wanaupga mwing sanaaa.........Zamu ya CDOs sasa
Hizo na kazi za mikataba zote hazina databaseIvi mtu ukifanya usahili wa tutorial assistant unaweza pata kazi kupitia database kama ulikosa ile ya tutorial assistant
MmhHizo na kazi za mikataba zote hazina database
Mzee Sawadogo,...haya maneno hayatakiwi.naona psrs akili imeanza kuwakaa sawa baada ya kuona mtiti wa hizi taasis nyeti kulianzisha.