Big up sana mwanaπͺπ½IT shusha pdf vijana walambe asali. π₯π₯π₯
IT MSIMWITE ,ACHANA NAE...IT sjapenda kabisa..
View attachment 2790530
Mzee Sterling umesharipoti kaziniBig up sana mwana[emoji1434]
Aisee niliwahi saa 11 kwenda kufanya oral halfu tukaanza saa 5 ..Halafu hakuna sehemu ya kukaa. Ukiitwa pale ujue ni kusimama mwanzo mwisho. Kama afya yako ni gogoro ujue kazi umeshakosa. Sijui kule kusimama nako ni intavyuu?
Leo hamna tulale ..Usiku mwema IT. Nikishtuka tu usingizini lazima nicheki PDF
ndo walivyo ao πIT MSIMWITE ,ACHANA NAE...
MM NIMEFANYA INTERVIEW CIVE WAMITWA WATU WOTE NILIOFANYA NAO INTERVIEW WA KADA NYINGINE IMEBAKI KADA YANGU TU.
mimi nataka Atoe nijue niko database au mwakani nanunua Ist.
Maana nilivyomaliza oral nikajiwekea guarantee ya mwaka mmoja kulamba asali.
Mengine nimemwachia Mungu
CIVE ni kada gani?IT MSIMWITE ,ACHANA NAE...
MM NIMEFANYA INTERVIEW CIVE WAMITWA WATU WOTE NILIOFANYA NAO INTERVIEW WA KADA NYINGINE IMEBAKI KADA YANGU TU.
mimi nataka Atoe nijue niko database au mwakani nanunua Ist.
Maana nilivyomaliza oral nikajiwekea guarantee ya mwaka mmoja kulamba asali.
Mengine nimemwachia Mungu
Nikitaja nitatoa kode ila ni taasisi kubwa tu nchini.CIVE ni kada gani?
College of informatics and virtual Education (UDOM) siko sure sana lakiniCIVE ni kada gani?
CIVE namaanisha ukumbi niliofanyia interviewCollege of informatics and virtual Education (UDOM) siko sure sana lakini
Yap hiyo ni short form tuCIVE namaanisha ukumbi niliofanyia interview
Inahuzunisha, Ila ni basi tuIT Umeamkaje.
Hizo taasisi zinacholewa kuleta barua Mungu anaziona .
Wamehitaji wapate waajiri wapya,psrs amefanya mchakato wote.
Halfu anakuja mjinga mmoja kwa interest zake anakaa na file hata mwezi mmoja.
MUNGU ANAWAONA.
IT karibu KITUMBUA ...