Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ni furaha sana kukutana masijala ya wazi mkisubiria barua za vituo vya kazi pale nje kwenye hema. Hapo kila mtu anaelezea uzoefu wake aliopitia hadi kuwa mshindi mnacheka sana na kufurahi pamoja. Very happy indeed.
Walinzi wa pale getini wamepata fursa ya kujipatia kipato kwa wale ambao wanakuja kuchukua barua na hawajavaa mavazi ya kiutumishi

Ukija umekula jeans/sandals/t shirt wanakwambia hauruhusiwi kuingia hivo inabidi urudi kubadirisha nguo au wakukodishe nguo zao

Kwahiyo ni wewe sasa kurudi au kuwapa hela ambayo mtaelewana ili wakupe viwalo ukamalize mchakato au wakubanie kuingia
 
Sasa na ww unaendaje kwenye interview ilhali unavaa nguo zisizo za kiutumishi
 
Hii ni pure psychological torture wazee. Kusubiri matokeo ambayo ni 50/50, tunajipa moyo miezi yote hio kuwa pdf inayotoka inaweza kuwa inatuhusu. Chances za pdf kutoka siku hio nazo hazijulikani. Aiii inachosha kila muda kuchungulia kitu hujui kama kitakuwepo au lah. Na hapo pdf inaweza toka nako ni bila bila[emoji1430][emoji1430].

Uvumilivu unaelekea kunishinda. I am on the edge of giving up kabisa. And this thread ni moja vitu vinavyonipaga moyo.
Ni kwa moto mnoo aisee[emoji1430]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…