Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wana-Jamvi! Nilipotea baada ya PDF ya mwezo wa 8 kuonekana nimekosa. Namshukuru Mungu PDF la mwezi wa tisa nilipata kazi. Nimelamba asali πŸ™ŒπŸΎπŸ™πŸΎ.

Ile status now nimeiamini. Acc yangu ilikuwa selected for oral since mwezi wa tano baada ya Oral hadi leo.

Kila la kheri kwa ambao bado hamjalamba Asali ya nyuki wa dogo. Mwenyezi Mungu awasimamie
 
utuombee.
 
Hongera sana kipenz...mwaka wa kukutana na jina langu (winifrida A julius ) kweny pdf nahc ntalisoma kwa marudio usiku mazima..... Mungu akufanyie wepesi katika safar yako mpya.
 

Hongera sana. Mungu akutangulie katika kazi yako, ukawe mtumishi mwema mno.

Ambao tunarndelea kusubiri, Aluta Continua[emoji16]
 
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Hongera sana mkuu, tunaimani na sisi siku moja tutalamba asali na kutoa ushuhuda humu
 
Hongera Sana ukawe mtumishi mwema. Mungu akuongoze vyema.
Ngoja nasi tuendelee kumsikilizia IT huenda Leo usiku ngoma nzito ikaachiwa
 
ongera sana asee ,ukawe mtumishi mwema
 
Wakuu, Kuna ishu inanisikitisha Sana naomba mnisaidie kulitolea ufafanuzi. Kuna lile kundi mwezi January 2023 lilifanikiwa kwenda Oral za TRA Ila halikupata nafasi, na baadae TRA wakajitoa utumishi. Sasa, hili kundi litakuwa database kweli?, Au Kuna mmojawapo ana ushuhuda wa mtu aliyekuwa katika Hilo kundi ameshalamba asali kupitia database?.. naomba mnisaidie Hilo wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…