Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wewe umefanya nicheke sana leo

Hahaha, acha kabisa Mkuu, ukitaka kulielewa hilo la ukarimu wetu wanaume kwa wanawake ni siku utakayobadilisha avatar na kuweka ya mwanaume.

Japo mimi binafsi napata wakati mgumu sana kuamini wewe sio wakike, na mimi nitaanza rasmi kukukazia kiume.

Mpaka sasa imegundulika hapaJf kwamba Prok ni wakike na sio wakiume na wewe moneytalk ni wakiume sio wakike, acha tuone mwisho wake utakuwaje.
 
😂😂😂😂😂 moneytalk niwakike mzee me mkiniambia niwakiume siamini na akili yangu imegoma kabisa aseeh
 
Ety wadau.. hii website ya freebasics inapatikana na je ninaweza kutumia JamiiForum kama zamani...

Tuambizane wadau.. maana nilikuwa nainjoi JF via freebasics bila hata Senti 1
 
Jobless tunahangaika na ajira wewe kumbe umetuzunguka umeoa aiseee humu tuishi kitaalamu sana🤣
 
kwanini unapata wakati mgumu mkuu kuamini
 
😂😂😂😂😂Kinachoniangusha ni hii suti tu haipati kazi yake niliyoishonea Yani mpaka imeanza kupauka hapa
 
Nipo nje ya mada kidogo, hivi hawa wanaokuja huku na kuandika natafuta connection ya ajira serikalini au private na private kaweka masharti kwamba kuwe na mkataba. Aisee ingekuwa rahisi hivyo wote hapa tungekuwa na kazi. Nmesoma uzi mmoja humu nmejiuliza maswali mengi. Bora hawa wanaosema ajira yoyote natafuta ili mradi iwe ya halali
 
Hao ndo wanatoka chuo mkuu bado hawajapigwa na jua subiri watakuja kuandika vizuri tu kuwa wanaomba kazi yoyote ilimradi tu apate sehemu yakula mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…