hahahaaa aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo yapili naona niiache tu Hawa viumbe wataniua bure hawana huruma anaweza akakuchoka tu siku hyo anakwambia mbona unakula vibaya kama kifaru sasa shida yanini
ngoja nikufikirie sasa hivi mkuu[emoji39]Mkuu, tuko pamoja kwenye hilo. Na endapo ikabainika ni wakike, tafadhali tunaomba atufikirie kwa jicho la tatu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo yapili naona niiache tu Hawa viumbe wataniua bure hawana huruma anaweza akakuchoka tu siku hyo anakwambia mbona unakula vibaya kama kifaru sasa shida yanini
Numbi ni wa kike, kutoka kwa watu wangu wa karibu wana ushahidi kuhusu hiloWarumi nilikuaga ni manzi aseeh na numbisa nayeye sielewi elewi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka kunibebesha mzigo nisiouweza kuubebaacha kumuonea bana mwifwa
Hiyo ni status mkuu imechanga tena Mwajiri PURAMkeka upi? mwajiri ni nani?
Hii shortlisted sasa ndo yenyewe mkeka umetiki mzee niamini mimiHiyo ni status mkuu imechanga tena Mwajiri PURA
Hii shortlisted sasa ndo yenyewe mkeka umetiki mzee niaminiHiyo ni status mkuu imechanga tena Mwajiri PURA
Hongera sana kaka.Hahahahahahaa, ni sahihi nimeoa tangu 2019 na nilileta uzi humu ila bado ni jobless, maisha yanasonga kupitia vijiwe.
Ukishapiga oral, achana na status, hiyo haina kazi tena.Hiyo ni status mkuu imechanga tena Mwajiri PURA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii shortlisted sasa ndo yenyewe mkeka umetiki mzee niamini mimi
Ahsante mkuu.Hongera sana kaka.
Kabisa aiseeAhsante mkuu.
Mkiwa busy na kutafuta mrija wa Asali, hili nalo mkalitazame
Na umwambie PDF inaweza toka kitu ni re-advertisedUkishapiga oral, achana na status, hiyo haina kazi tena.
Jibu pekee ni PDF ya placement tu.
Tushalijadili humu na kuhitimisha hivi
😂😂😂😂Hapana mzee hii ni uhakika kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usimpoteze jobless mwenzako njia, asije akaseme kahujumiwa pdf litakapotoka
HahahahaaaNa umwambie PDF inaweza toka kitu ni re-advertised
Na ukawa haupo shortlisted kwa kuambiwa huja attach Birth Certificate. Aloo!Hahahahaaa
Halafu unaomba tena sasa
HahahahahaaaNa ukawa haupo shortlisted kwa kuambiwa huja attach Birth Certificate. Aloo!