Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

MIMI NAONA KAMA ACCOUNT YAKO HAIBADIRIKI LILE NENO SELECTED FOR ORAL...KWENYE BOTH APP NA WEB UJUE USHAKULA MAISHA... SOON✍️

KAMA KUNA MTU ANASHUHUDA TOFAUTI NA HII, AISEME
Naomba kuuliza je Kuna wengine hubadilika maneno "selected for oral interview" na kuwekwa maneno mengine?
 
MIMI NAONA KAMA ACCOUNT YAKO HAIBADIRIKI LILE NENO SELECTED FOR ORAL...KWENYE BOTH APP NA WEB UJUE USHAKULA MAISHA... SOON✍️

KAMA KUNA MTU ANASHUHUDA TOFAUTI NA HII, AISEME
na inabadirika baada ya muda gani kutoka siku ya kufanya oral interview
 
Yani status yako kwa App inatakiwa ibaki select for oral, ikichange mara kuandika selected for null...mara inarudi selected for oral hapo ni kipengele kupata placement.

Mimi kwangu nasubiria usaili ila nna kama wiki 3 kwenye web stutas ilinletea namba ya interview ila timetable sikuipata na mkeka wa call for interview ulikua aujatoka baadae kama siku 1 ikarudi stutas RECEIVED sasa hapo walinvutugaga mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…