kwanini mzeeUtumishi hii practical kwa IT officers ni uonevu....
me naona ni sawa tu maana kuna wengine wamekariri darasani lakini ukimpeleka kazini hajui chochoteUtumishi hii practical kwa IT officers ni uonevu....
Una leseni ya udereva?Ebu naombeni kuuliza, mimi Nina vyeti vya vya academic pamoja na cha kuzaliwa ila sina kadi ya mpiga kura,sina kitambulisho cha nida (ila namba ninayo) je naruhusiwa kwenda kwenye usaili na namba y nida tu au utaratibu ikoje
Ndio zile nafasi za madereva na wauguzi!!Leo Kuna Pdf la placement before Saa 10 jioni... Na kesho pia kuna pdf la placement .... Watu watakuwa Si haba, hawatapungua 30 kwa kila Pfd so stay tunned ##Zandani kabisa
Simply, mwambie tu barua ya utambulisho ina nguvu kuliko hiyo namba ya NIDA. Akiwa na namba ya NIDA bila hiyo barua bora asiende tu atapoteza nauli yake.Cheti cha kuzaliwa.
Namba ya NIDA wenye access na data base ya NIDA ndio wanaweza kuihakiki. mfano BANK, NHIF n.k
Sasa unafikiri M/kiti wa mtaa ana access hiyo?
Simply, mwambie tu barua ya utambulisho ina nguvu kuliko hiyo namba ya NIDA. Akiwa na namba ya NIDA bila hiyo barua bora asiende tu atapoteza nauli yake.
Una leseni ya udereva?
Maswali mazuri yanaonesha haujawahi kuandikiwa barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.
Kuhusu Cheti nimeeleza tangu mwanzo wakati nakupa maelekezo, atakitumia kunakili jina lako ili asikosee hata herufi moja wakati anakuandikia kwenye barua.
Barua za utambulisho huwa zipo tayari, inabaki kujaza tu details zako sehemu zinazohitajika.
Hao ni watu wawili tofauti, hii kitu tumeisema sana humu.Cheti cha kuzaliwa kina jina INOCENT alafu vyeti vingine vyoooote vina jina INNOCENT sasa sijajua ipi itumike na ipi iachwe na je Kuna shida kwa herufi hyo?
Kwahyo cheti nacho cha kuzaliwa atakiambatanisha au ni kwaajili ya kunakili jina? Na je format ya barua kama hii mwenyekiti anaiandika mwenyew au Kuna format rasmi?
Nimemuambia ana mawenge sana, yani hapo usikute kashapiga hesabu kuwa hiyo position ni ya kwake...yani kuitwa kwenye interview kashaona kuwa kapata kazi....Simuombei mabaya ila kwa aina ya maswali anayouliza Utumishi wata msuprise Kichwa kikae sawa .Punguza wenge kijana na mitihani ya utumishi inahitaji utulivu, hauna utulivu kabisaa.
Umeshaelekezwa nenda na cheti serikali ya mtaa wasikosee jina maana herufi moja ikichengana hautaruhusiwa kuingia ndani. Wewe unaulizia format ya barua kwani wewe ni wa kwanza kutambulishwa hapo ofisi za mtaa.
Fuata maelekezo amekupa @mwifa
Abadilike mara moja la sivyo kukosa utulivu kuna malipo yake.Nimemuambia ana mawenge sana, yani hapo usikute kashapiga hesabu kuwa hiyo position ni ya kwake...yani kuitwa kwenye interview kashaona kuwa kapata kazi....Simuombei mabaya ila kwa aina ya maswali anayouliza Utumishi wata msuprise Kichwa kikae sawa .
Nimemuambia ana mawenge sana, yani hapo usikute kashapiga hesabu kuwa hiyo position ni ya kwake...yani kuitwa kwenye interview kashaona kuwa kapata kazi....Simuombei mabaya ila kwa aina ya maswali anayouliza Utumishi wata msuprise Kichwa kikae sawa .
Sawa sina nyota ya ualimu, But trust me kwa aina ya maswali unayouliza na majibu yote yapo kwenye tangazo la ww kuitwa interview, sishangai ... Yani trust me written kutoboa kwako itakuwa miujiza, Sikujui but level yako ya uelewa ni ndogo sana... Thn inasikitisha kama una bachelor degree unless uwe na certificate[emoji2][emoji2][emoji2]wewe hauna nyota ya ualimu kuna kitu kinaitwa UJINGA,TAHADHARI na WENGE ni vitu vya kutofautisha sanaaaa..kuna HIGH LEARNERS NA MID LEANERS NA LOW LEARNERS nao ni watu wawili tofauti ila kikubwa anaeuliza atajifunza hata kama ataonekana tofauti pili mimi siendi kwenye interview na matokeo mkononi kwamba mimi ndo MUHISIKA kwenye hiyo POSITION Bali naenda kufanya ili kutimiza malengo ya ALLAH alioniwekea kama ni YANGU ni YANGU tu kama si YANGU si YANGU so kuusu wengé uwenda ni kweli ninalo lakini ni wengé ambalo litaenda kuinufaisha FAMILIA YANGU na watu wanaonizunguka kwako linaweza reflect kama wengé ila kwangu linatoka kama SWALI ambalo sijalielewa
All in all we learn through mistake...okey I have wengé just teach me to have unwenge[emoji1434][emoji1488]
Sawa sina nyota ya ualimu, But trust me kwa aina ya maswali unayouliza na majibu yote yapo kwenye tangazo la ww kuitwa interview, sishangai ... Yani trust me written kutoboa kwako itakuwa miujiza, Sikujui but level yako ya uelewa ni ndogo sana... Thn inasikitisha kama una bachelor degree unless uwe na certificate
Hongera, unajitambua. Utafika unakotarajia.Screenshot unioneshe walipoonesha kama hauna vyeti vya kukutambulisha ufanye nini! Oukey I trust you written sitoboi kwasababu MUNGU anatokea kwenu. Yes level yangu ya uelewa ni ndogo kwa maana hata wewe mwenye level kubwa ya uelewa ulianza kuipata kwa kidogo kidogo...okey una level kubwa ya uelewa ebu nieleweshe sio kunisimanga na kunitupia LAANA zisizoweza kunigusa...kuusu bachelor degree is identification by pc of paper knowledge,skills and wisdom is in the brain ya mtu bila kujali level ya elimu..... kama nilivotoa testimony ya kufaulu baadhi ya interview zangu mwanzo basi ntakuja na testimony ya interview hii ntakapofeli ntakwambia ili uone dream yako ilivo come true
“Don’t Panic when you reply someone give him/her your exposure so that you will adapting yourself on some one else”
NAITAJI BARAKA ZAKO KUFAULU INTERVIEW HII mr it personel LOVE YOU MORE BRO[emoji3059][emoji1434][emoji1488]
Wee jamaa hiyo pdf iko wapi?Leo Kuna Pdf la placement before Saa 10 jioni... Na kesho pia kuna pdf la placement .... Watu watakuwa Si haba, hawatapungua 30 kwa kila Pfd so stay tunned ##Zandani kabisa
Hapo itabidi sasa uwe na barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa option ya mwisho iyoSina leseni wala kitambulisho chochote tofauti na vya academic
Yani ulimuamini?Wee jamaa hiyo pdf iko wapi?