Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Naomba nikuulize kwanini TRA ,BOT,NHIF Pekee ndo yamejitoa je mashirika mengine yapo mbioni kujitoa psrs?correction; TRA haikujitoa bali mashirika ya umma yalipewa kibali kujiendesha yenyewe na TR by order ya Rais.
Hongera sana mkuuKwangu Mm November nadhani itakuwa siku ya kukumbukwa sana baada ya kubadilishiwa Masharti ya Ajira kutoka Mkataba kwenda kudumu.
Hakika tumekumbukwa baada ya kitambo kirefu sana! Sasa wacha tulinde maliasili zetu kwa uadilifu mkubwa sana..
Tusikate Tamaa..
Shukrani MkuuHongera sana mkuu
😄 Ni shidaIla Uzi hawa watoto waliotoka juzi chuoni wanauharibu sana
Wengi wao wanakua na too much expectations.[emoji1] Ni shida
Haaaah!!! Reality kabisaWengi wao wanakua na too much expectations.
Then wakija kwa street wanakuta mambo are so quite differents.
Sasa hasira zote ndio zinaishia humu kwenye thread.
[emoji24][emoji24] halafu Mashirika matamu matamu tu!! I love TanzaniaNaomba nikuulize kwanini TRA ,BOT,NHIF Pekee ndo yamejitoa je mashirika mengine yapo mbioni kujitoa psrs?
Ni kweli kabisa, sasa sijui matarajio makubwa wanayatoa wapi wakati wanaona kaka zao tupo kitaa toka 2015😄Wengi wao wanakua na too much expectations.
Then wakija kwa street wanakuta mambo are so quite differents.
Sasa hasira zote ndio zinaishia humu kwenye thread.
IT mida yake inakuwaga jioni jioni hiviutumishi hili bando likiisha hamjatoa mkeka mtanichangia hela ya bando.
ngoja tusikilizieIT mida yake inakuwaga jioni jioni hivi
AminaDear Lord.
Kama ikukupendeza na mimi nikumbuke mwaka 2024 .
Kama sio ile oral ya mwaka jana basi hata Receive ijayo.
Mapenzi yako yatimizwe.
Amen
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]MkuuMkuu upo simiyu nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Ni changamoto sanaAhaaa itakuwa uvinza ndani ndani kwenda kalyaa
Kabisa,siku zisogee tu.Hapana mkuu, Mimi nipo Uswekweni huku bora ningekuwa Wanging'ombe.
Halmashauri tupo kusukuma siku ziende.