Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona kuna operation safisha database kuanzia tarehe 14-1-2023, wakuu shuhuda nimuhimu Sana umu, leteni shuhuda wakuu, hongereni sana wote waliolamba asali mkawe watumishi wema na waadilifu mkachape kazi
 
Wale wa Oktoba 2023 kanseli
Ngoja kwanza tuwapeleke hawa vijana wa umeme wakatatue tatizo la kukatika kwa umeme Mara kwa Mara.
Uhakka..hongera kwa waliopata
Database inasogea
Sasa ni Kati ya 14/01/23 ad 12/12/2023

Jobless msikate tamaa mambo mazr yanakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…