ukiwa unaandika application letter waambie hauko tayar kufanya kazi halmashauri.Halimashauri zinachomoa sana watu kwenye data base.
ukiwa unaandika application letter waambie hauko tayar kufanya kazi halmashauri.
Vuta subira nduguKutoka 4/4/2022 mpakaka 12/12/2023 nimefanya oral mbili, zote hazipo kwenye pdf! Uvumilivu muhimu
Kuna yule naibu Katibu, mtoto wake mwaka juzi alilamba asali TPAJobless huyu akiwa mjomba asali ya TPDC lazima ikuhusu.
[emoji849][emoji849]Kuna yule makamu Katibu, mtoto wake mwaka juzi alilamba asali TPA
Hakunaga position inayoitwa makam katibu, rekebisha kauli. Inaonekana unaongea kitu cha kusimuliwaKuna yule makamu Katibu, mtoto wake mwaka juzi alilamba asali TPA
kada yako n ipiSioni hata mtu mmoja wa kada yangu kwny pDf, kumbe kuna watu tangu April 2022 walikuwa hawajaitwa?
Wengine pia tupo tokea may 2022 hatujaitwa, oral ya December 2023 wanaita mmoja mmoja..... uvumilivu muhimuSioni hata mtu mmoja wa kada yangu kwny pDf, kumbe kuna watu tangu April 2022 walikuwa hawajaitwa?
Aisee hongereni, nimewaona leo, vp bado bilabila?!IT endelea kutukumbuka electrica engineers ivyoivyo nimeanza kusikia harufu ya asali..
hakuna hata dalili 🤣 🤣Aisee hongereni, nimewaona leo, vp bado bilabila?!
Wamechomoa data base watatu wakaenda kuvagaa bwawa la asali mamlaka ya viwanja vya ndege TAA na mwingine Li Halmashauri la KakonkoAisee hongereni, nimewaona leo, vp bado bilabila?!
Kuna watu wana bahati bwanaWamechomoa data base watatu wakaenda kuvagaa bwawa la asali mamlaka ya viwanja vya ndege TAA na mwingine Li Halmashauri la Kakonko
Subiriihakuna hata dalili 🤣 🤣
HatariKuna watu wana bahati bwana