Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Fact
 
Hv unajuaje kuwa hawa kadhaa ni kutoka database na mhusika atajuaje kuwa buyu la asali limemfikia.?
Raia wengine tofauti na wazee wa Flash, tunawatambua watu kutoka database kwa namna mbili.

1. Kama mlifanya wote oral halafu hakuitwa kwenye placement ya kwanza, akaja kuitwa placement nyingine na hakufanya oral ya mwajiri huyo, hapo basi tutajua ni kutoka database.

2. Muhusika mwenyewe kubainisha kuwa katoka database.
 
kwa hyo mkuu Mwifwa unaweza kufanya usahili wa taasisi fulani lakini database ukaitwa taasisi nyingine kwa kada hiyo hiyo? au lazma taasisi hyo hyo itoe ihitaji mtu ndio wanaenda database

ufafanuzi please [emoji120]
 
Kwahy inamaana kuwa hakuna ishara yoyote ya wazi inayoonyesha kuwa hawa ni kutoka database.?
 
kwa hyo mkuu Mwifwa unaweza kufanya usahili wa taasisi fulani lakini database ukaitwa taasisi nyingine kwa kada hiyo hiyo? au lazma taasisi hyo hyo itoe ihitaji mtu ndio wanaenda database

ufafanuzi please [emoji120]
Ndio hivyo database kama umefaulu ukakosa nafasi utapangiwa Taasisi yeyote nafasi ikipatikana sio lazma uliyofanya usaili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…