Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Ukiwa unapelekwa kwenye taasisi( tuiweke Halmashauri pembeni) kutoka database, asilimia kubwa huwa ni taasisi tofauti na uliyofanyia oral ila kwa nafasi ile ile.kwa hyo mkuu Mwifwa unaweza kufanya usahili wa taasisi fulani lakini database ukaitwa taasisi nyingine kwa kada hiyo hiyo? au lazma taasisi hyo hyo itoe ihitaji mtu ndio wanaenda database
ufafanuzi please [emoji120]
Namna nilivyoeleza ndivyo tunavyofahamu kuwa fulani katoka database.Kwahy inamaana kuwa hakuna ishara yoyote ya wazi inayoonyesha kuwa hawa ni kutoka database.?
Kwenye sheet ya majina ya interview mlioitwa , ukisearch aliyepata Placement usipoona jina lake then obviously no data base ya sahili tofauti na mliyofanyaHv unajuaje kuwa hawa kadhaa ni kutoka database na mhusika atajuaje kuwa buyu la asali limemfikia.?
Call for interview sheetHv unajuaje kuwa hawa kadhaa ni kutoka database na mhusika atajuaje kuwa buyu la asali limemfikia.?
Kuna wengine utakuta mkeka umetoka leo hayupo lakini baada ya siku mbili au tatu anakula shavu la taasiai..,kwny zile za Mda na Lga.Kwenye sheet ya majina ya interview mlioitwa , ukisearch aliyepata Placement usipoona jina lake then obviously no data base ya sahili tofauti na mliyofanya
Swali halina marks hili!Tell us about yourself!
hakuna swali halina marksSwali halina marks hili!
Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyohakuna swali halina marks
Tena ya ndege🤣kwaiyo IT nikakatage tiketi kabisaa au..
Mshaanza vitisho sasa.Swali halina marks hili!
Kwamba Yale manne Kila Moja lina makisi 25?Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
Hakuna kisichokuwa na marks..,hadi kuvaa kuna marks.Kwamba Yale manne Kila Moja lina makisi 25?
Uko sahihiHakuna kisichokuwa na marks..,hadi kuvaa kuna marks.