Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu ulpotea sana..
 
[emoji23][emoji23]famchezo nn
 
Kinachouma kuwa ajira portal ni kwamba kwa mfano wewe una leseni ya udereva, diploma ya uhasibu na digrii ya rasilimali watu; umezibainisha kwenye akaunti yako,
Ujue hapo kazi utayoruhusiwa kuomba ni ya digrii ya rasilimali watu tu,
zingine za chini huwezi kuomba kabisa.
  • Wakitangaza kazi za udereva, unakosa vigezo,
  • Wakitangaza kazi za uhasibu wa ngazi ya diploma, napo huna vigezo, kwa sababu tu una digrii.
 
unawazidi sana maarifa wa chini( diploma) ukifanya nao interview. Pambana na rika lako( degree). By utumishi
 
yaani leo kuna watu wamefanya usahili na matokeo yametoka leoleo au sijaelewa vizuri tangazo la matokeo.mbona watu ni wengi vile imewezekanaje..?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]jamaa limekua kama limemaliza kukata nyeto akili imejirudi sasaaa[emoji28][emoji28][emoji28]anywai fanya tuje tuonane unipige hata soup [emoji501] mwanangu mi nko ubungo hapa
jamaa yako aliamua kujipa mwenyewe ajira bwana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…