Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu watakuja kukupa muongozo.
 

Mjadala mrefu ila tulifanikiwa kuumaliza.


Selected for Oral both web$app hapa una asilimia 70% ya kuwa kwenye database na kupata kazi.

Selected For oral web $Not selected for oral app hapa tunaita baba Jane bye bye wait for another received .

Selected for Null not Selected for null nadhani tulipitia muafaka ni kwamba hizi Error za system na kwa sasa hazipo zimelekebishwa kazi hamna hapa.

Shortlisted ni issue ya system kujiaupdate
 
Asante sana Mkuu
Ila hiyo Baba Jane bye bye jamani🥴🥴
Asa mtu oral tokea mwezi wa kumi huko Hadi leo listatus linasoma Selected for oral interview both app&web adi mtu anashindwa kuelewa yaani miezi Kama 5 imekata.
 
Asante sana Mkuu
Ila hiyo Baba Jane bye bye jamani🥴🥴
Asa mtu oral tokea mwezi wa kumi huko Hadi leo listatus linasoma Selected for oral interview both app&web adi mtu anashindwa kuelewa yaani miezi Kama 5 imekata.
heeh yaani we umefanya mwezi wa kumi unashangaa.wenzio tumesahau hadi tulifanya lini..
 
Asante sana Mkuu
Ila hiyo Baba Jane bye bye jamani[emoji3061][emoji3061]
Asa mtu oral tokea mwezi wa kumi huko Hadi leo listatus linasoma Selected for oral interview both app&web adi mtu anashindwa kuelewa yaani miezi Kama 5 imekata.
Kaka mbona haraka hivyo ukifanya interview.

Jipe muda wa mwaka mmoja wa kuwa database .

Maana kusubiri ajira PSRS inabidi uwe na Roho ngumu sana.
 
Kwangu Mara baada ya kutoka ktk oral status ilisoma ktk app shortlisted na ktk web ilikua selected for oral baada ya muda nikawepo ktk pdf la placement.

Zingatia: sidhani kama stutus zina maana yeyote
 
Bro, ebu nipe uzoefu kidogo na mbinu za interview ya TA kwa Written na Oral
1. Kuhusu TA abel cha kwanza kwenye written hakikisha unasoma mada za darasani ulizojifunza kwny kada yako ulio ombea sababu masuali huwa ni ya ki professional, maana ya course yako. Hakikisha unapata alama nzuri kwahio jiandae haswa sababu kwenye nafasi 1 wanatakiwa waende oral watu wa 3 tu. Kwhio hatakama mko 10 wataangalia watatu wa juu wenye marks kubwa kuwazidi wengine ndio wataenda so kama wanataka watu wawili basi oral mtaenda 6... n. K

2. Ukibahatika kufika oral sasa jiandae na topic moja unayoielewa vizuri, hio jiandae nyumbani sababu ukifika siku ya interview mtachukuliwa kila kitu chenu mtaingizwa kwenye chumba cha computer kwa muda wa lisaa limoja mtaambiwa muandae ppt za topic utakayochagua kwaajili ya ku present kweny panel so ukiwa ushajiandaa unaandika chap tu. Mkimaliza mnaenda kuingia kweny panel mnakuta zile ppt zenu zimewekwa kweny laptop na projector anaingia mmoja mmoja unaanza na presentation ulioiandaa kwa dk 10. Ukimaliza presentation wataanz kuuliza masual kuhusu presentation yako na baada ya hapo wataanza kukuuliza masuali ya professional na ya kiutumishi.

3. Kikubwa ni uwe na confidence, uwe na uelewa mzuri na mambo ya kozi yako sababu wantafuta walim so wanahitaji mtu mweny confidence na mwenye teaching skills. Masuali yao huwa ni ya scenario zaidi kama mtaalam utafanya nn kweny kitu flan, yanapima uelewa zaid ya kukalili.
Bro, ebu nipe uzoefu kidogo na mbinu za interview ya TA kwa Written na Oral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…