Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na inakula Bando Ile website
🫨yan sjui kwann nikiwa idle tu siwez kukaa tu nisiingie unakuta lazma niingie tu..ndo mana nataman kungekua na tar rasmi ya matokeo ijulikan itatusaidia sana.
 
Nakumbuka siku natoka kwenye oral mwenyekiti wa panel alinikomalia na kunisisitiza mara kwa mara niwe naingia kwenye website ya secretariat ya Ajira hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah Leo naona kama NI database basi itakuwa ishaexpire maana nilipiga February 15 mwaka jana
 
Kwa hio bado hujaona?
 
Itakua ulifnya vzur[emoji3],yan yale maneno yao ya mwsho yanatiaga moyo sna
 
Muhimu kujiandaa na kumtumaini Mungu. Last year October tuliitwa watu 1100+ kweny nafasi 2 . Tuliofanya Ni 500+ na oral tuliingia 23 na Kwa kudra za Allah katika Hao wawili Nami nikapata Kazi.
Nipe ABC za maswali...caring is sharing, aah vice versa is
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…