Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Daaah aiseeeeukiyafikilia sana hayo masenge utaumiza kichwa bure tu.[emoji38]
Huo ndo mpango mzima,tusikate tamaa,Wapambanaji endeleeni kuongeza RECEIVED
KILA DUA HATUA HATUA amna namnaKuna nafasi Moja ya kazi mfuko wa Self me. Interview watu 590 daaah!!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] week ijayo nadhani
Kuna moja tulipiga mwaka jana nafasi moja tuliitwa kwa idadi hiyo hiyo na bado kuna wale wa nyongeza..Kuna nafasi Moja ya kazi mfuko wa Self me. Interview watu 590 daaah!!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] week ijayo nadhani
[emoji23]wanasikia raha wanavyoona idad kubwa ya visitorstoka pamepambazuka mpaka sasa hivi nimeshaingia web mara sitini na tano..
pinacoladee vp wewe umengia mara ngapi mpaka sasa. au umesahau adi idadi.. 🤣[emoji23]wanasikia raha wanavyoona idad kubwa ya visitors
Wachache sana hao mkuu,nina mkando tarehe 16 nafasi moja watu 1098 na ameongezwa 1 kwenye majina ya nyongeza hivyo kufanya idadi iwe ni 1099Kuna nafasi Moja ya kazi mfuko wa Self me. Interview watu 590 daaah!!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] week ijayo nadhani
Naona wanaanza kutest mitambo kwa watu wa IT.
Sjui ni mara ngap ila ni mara nying,apa before kulog in JF nikaend web yao kwnz nikaishia kusonya tu aisee..pinacoladee vp wewe umengia mara ngapi mpaka sasa. au umesahau adi idadi.. [emoji1787]
Hawana jipya bhanaaa wee