El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
yah ni kweliWahuni tu hawa,
PSRS ya 2021-2022 siyo ya 2023-2024
toka mwezi wa sitaWalifanya oral ya Urban planning mwezi wa ngapi mkuu?
Mkando wa hatari sijui wengine 😞matokeo yametoka huko.vp jaman oral mnaenda au mpo njiani kurudi majumbani
naona hakuna mrejesho au watakua kwenye basi?🤣🤣Mkando wa hatari sijui wengine 😞
Pole sana,next time mambo yatakua vzur usjarMkando wa hatari sijui wengine [emoji20]
Inabid uamshe tu chap kwa haraka..naona hakuna mrejesho au watakua kwenye basi?[emoji1787][emoji1787]
Consistence is the key mkuu kep trying mpaka kieleweke one dayMkando wa hatari sijui wengine 😞
Nimeshakula ndoige hapa[emoji23]..matokeo yametoka huko.vp jaman oral mnaenda au mpo njiani kurudi majumbani
🤣 🤣 inaboa sana hii.mie kuna siku nilitoka kwenye interview sikusubili matokeo yaani mojakwa moja nilienda kimbinyikoNimeshakula ndoige hapa[emoji23]..
Naenda zangu nane nane kutafuta gari nirudi zangu mtaani kuendelea na mambo mengine.
Tusi give up mzee kikubwa ni extensive preparation.[emoji1787] [emoji1787] inaboa sana hii.mie kuna siku nilitoka kwenye interview sikusubili matokeo yaani mojakwa moja nilienda kimbinyiko
Amen, Mungu atawezesha.Pole sana,next time mambo yatakua vzur usjar
Hii interview (oral) ya mwezi wa sita na Mimi nilifanya katika kada hiyo hiyo ya Urban Planning, placement ilitoka mwezi wa tisa.toka mwezi wa sita
walichukua wangapiHii interview (oral) ya mwezi wa sita na Mimi nilifanya katika kada hiyo hiyo ya Urban Planning, placement ilitoka mwezi wa tisa.
Tunasubiri kupangiwa vituo labda kupitia Database.
Ni fact mkuu[emoji23][emoji23]hii siku huwa mbaya sana kwa wasubiria mikeka...
Watu kumiwalichukua wangapi
yaani kuanzia kesho watu kidoogo wanapata matumaini alafu kitu kinatoka baada ya wiki 2 sasa alafu kimepasuliwa katikati sasa 🤣 🤣Ni fact mkuu[emoji23][emoji23]
Yaani jamaa wanagawa kipondo cha mbwa koko huko[emoji23][emoji23][emoji23]matokeo yametoka huko.vp jaman oral mnaenda au mpo njiani kurudi majumbani
Wanaona tunawasema sana. Wanalipiza kisasi😂😂NILIKUA NAANGALIA MATOKEO MBALIMBALI, UTUMISHI WAMEZIDI KUA WAKALI.....UDOM HAKUENDEKIWADA