El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
Unatafuta kiki kwa pikipikishoga babaako kumaa wewe
human resource management/administrationKwani unafanya kada ipi mkuu? Tuanzie apo kukushauli
Tembea na labour lawshuman resource management/administration
shukraniTembea na labour laws
Ongezea na Masuala ya industrial relation and legislationshukrani
Ruka na module basically zinazohusika na Cdo's.Mwenye ufahamu wapi pa kupitia kwenye written interview nafasi ya MKUFUNZI II (Community Development Officer), ministry of education science and technology.
angalia majukumu ndipo mara nyingi wanatoa humoMwenye ufahamu wapi pa kupitia kwenye written interview nafasi ya MKUFUNZI II (Community Development Officer), ministry of education science and technology.
Asante, so kwenye jukumu mojawapo wanaweza kutunga swali?angalia majukumu ndipo mara nyingi wanatoa humo
Soma yote kwa umakin tu maswali mengi ni technical & too generalAsante, so kwenye jukumu mojawapo wanaweza kutunga swali?
j3 utakuta sehemu ya advertisment vimewaka vyote watendaji wa halmashauri.. 🤣 🤣Dah vimulimuli vingi vimezima...tusubir j3 sijui watawasha kipi
Hehehehee wanasiasa wakitoa tamko..pdf linakua limeshiba, upepo ukipita ndio zinaanza single pagej3 utakuta sehemu ya advertisment vimewaka vyote watendaji wa halmashauri.. 🤣 🤣
Wametoa tamko ganiHehehehee wanasiasa wakitoa tamko..pdf linakua limeshiba, upepo ukipita ndio zinaanza single page