captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Mada pendwa, 🤣🤣🤣 Uzi uchangamke umepoa sanaivi status za ajira portal web na app after oral interview Zina uhusiano wowote na placement???
Inavyosekana mkuu,ni shida😅ivi status za ajira portal web na app after oral interview Zina uhusiano wowote na placement???
Selected for null😂😂Inavyosekana mkuu,ni shida😅
Angesema kwanz ya kwake web na portal inasemaj,wajuzi wangekuj kumuelewesh vzurkuna swali la status uku..
Mmmh hii kaliSelected for null😂😂
Na experience si unayo mkuu tusaidie kumjibu😃kuna swali la status uku..
Baba Jane bye bye😅😅ivi status za ajira portal web na app after oral interview Zina uhusiano wowote na placement???
Jambo zitoooo mno🤣Baba Jane bye bye😅😅
Selected for oral both oral na appAngesema kwanz ya kwake web na portal inasemaj,wajuzi wangekuj kumuelewesh vzur
Wanasem kuna uwezekano mkubwa wa kulamba asaliSelected for oral both oral na app
Sasa Kuna mtu anakwambia hazina uhusiano wowote ule maana Zina change muda wowoteWanasem kuna uwezekano mkubwa wa kulamba asali
Anasema ukimaliza oral achana na status ni kufatilia PDF tuWanasem kuna uwezekano mkubwa wa kulamba asali
situliishakubalana kua status ikichange ushachinjiwa baharini au..??Na experience si unayo mkuu tusaidie kumjibu😃
wengine zilichange ndo maana mpaka leo tunachezea mabando 🤣 🤣Sasa Kuna mtu anakwambia hazina uhusiano wowote ule maana Zina change muda wowote
sio kuna uwezekano.ukiona imechange jua ushalamba lolo 🤣 🤣Wanasem kuna uwezekano mkubwa wa kulamba asali
ili change kwenye web au appwengine zilichange ndo maana mpaka leo tunachezea mabando 🤣 🤣
Ogopa ile not selected for oral interview kweny appSasa Kuna mtu anakwambia hazina uhusiano wowote ule maana Zina change muda
Daah mkuuu ni hatari iyosituliishakubalana kua status ikichange ushachinjiwa baharini au..??
Mbona mwaka Jana zile za community development officer Kuna jamaa angu ilikua hivyo na yupo kazini saiviOgopa ile not selected for oral interview kweny app
ulikwambia ivo..?Mbona mwaka Jana zile za community development officer Kuna jamaa angu ilikua hivyo na yupo kazini saivi