Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Online test ...tareh 11.05
Practical ..tareh 19.05 Dodoma
Yaan unapewa siku za kutafta nauli kabisa,
 
Heri yako wewe unavyenzo za kusikilizia, huku tukuyu ndanindani tuna hali mbaya.
Anyways utatu-update.
Hahaha ha,hakuna jipya sana yaleyale tu
1. Wameongelea swala la aptitude test/online test utafanyik kwenye vituo vyao vya kila mkoa hivyo watu waupdate current location kweny account zao,na ikitokea haupo kwenye kituo ulichopangiwa basi nenda kituo kilichopo karibu nawe lakini unaweza kuchelewa kuhudumiwa
2. Wamesisitiza tu tusome tangazo na kanuni za ajira, tuzingatie tangazo la kazi linataka nini,na zile general conditions muhimu mno
3.Wamegusia interview haitok nje ya majukumu. Hivyo kwenye tangazo la kazi tusome majukum ya kazi na tuelewe vizuri. Kuna keywords mule tutapata kitu au direction tusome wapi zaidi.
4.Kwa mujibu wa katibu placement zinachelewa sababu kuu ni vibali
5.Pia unaweza kufanya interview zaid ya 1 kwa siku ikitokea zimepangwa siku 1 watatenganisha tu muda
6.Pia wamesema kutakua wanatufanyia psychometric test,kutupima haiba,akili au jinsi tunavyojitambua ili kujua sisi ni watu wa aina gani na wanampelekea mwajiri mtu wa aina gani🤣
7.Matokea ya aptitude test ni ya haraka mno unarud home ushajua mbivu na mbichi mapema tu🤣..nadhan awa waliofanya hivi karibuni watakua na experience zaidi.
 
Hii point ya kwanza mbona wanazingua, jmos tarehe 4 tumeitwa written Dodoma. Bado hawaja boresha miundo mbinu ya kufanya hizi aptitude test.
 
Hivi hawa wadogo zke na Vasco Dagama wakiongeaga huwa wanajisikiliza
Kama mabumunda vile
 

Vibali wamepewa 46elfu mpka sasa..
Lakini ukija ubaoni nw mambo ni shida number Inasomeka 9 wakati inasoma 6....
Wasifikie huko kututesa jobless
Na database ipo below 7000..
 
Vibali wamepewa 46elfu mpka sasa..
Lakini ukija ubaoni nw mambo ni shida number Inasomeka 9 wakati inasoma 6....
Wasifikie huko kututesa jobless
Na database ipo below 7000..
Mzee hivi unajua kama database ipo elfu 7000 hizi data natamani nijue na mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…