Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vibali wamepewa 46elfu mpka sasa..
Lakini ukija ubaoni nw mambo ni shida number Inasomeka 9 wakati inasoma 6....
Wasifikie huko kututesa jobless
Na database ipo below 7000..
Wasengeeex tu haiwezekani unakibali cha watumishi elfu 46 halfu wanazingizingia vibali.

Nawaambia labda wasisitaafu ila watoto wao sisi ndo tutawaajiri na TUTALIPIZA KISASI
 
Hii point ya kwanza mbona wanazingua, jmos tarehe 4 tumeitwa written Dodoma. Bado hawaja boresha miundo mbinu ya kufanya hizi aptitude test.
Si ndo mambo yetu ya Tz,tunakurupuka tu hatuko organised kbsaaa
 
Jamani nauliza,tuna mtihani wa account officer ii ,tarehe 11 na huu mtihani ni online mwenye ushauri wa namna ya kujiandaa zaidi,pia ningependa kuuliza wale waliofanya ICT officer online mtihan wao ulikuwaje? Je ni maltiple choice tu au vp
 
ICT ni multiple choice maswali 50
 
Jamani nauliza,tuna mtihani wa account officer ii ,tarehe 11 na huu mtihani ni online mwenye ushauri wa namna ya kujiandaa zaidi,pia ningependa kuuliza wale waliofanya ICT officer online mtihan wao ulikuwaje? Je ni maltiple choice tu au vp
Kuwa makini sana ktk kutumia keyboard ya computer. Uki minimize tab au kubonyeza button yoyote mf. ESC au WINDOWS BUTTON ikapelekea browser imerespond kidogo au kufungua program nyingine hata kama bahat mbaya ujue utakuwa umesubmit mtihani wako na hivyo vichache ulivyojaza ndio vitasahihishwa na hakuna msaada baada ya kukosea mashart.
 
IT leo alikuwa mei mosi...hajaweka ata hii pdf ya call for interview, tumsubir kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…