GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Wapigie wakwambie cheti gani hakipo...kama vipo vyote wakuweke kweny majina ya nyongezaKuna kazi niliomba, status inasoma " not shortlisted, CERTIFICATE NOT ATTACHED".
Inashangaza wakati kwenye academic and proffessional qualifications nimeattach vyeti vyote.
Mnadhani tatizo ni nini?
Wapigie simu mkuu kama vipo na zinaonekana watarekebishaKuna kazi niliomba, status inasoma " not shortlisted, CERTIFICATE NOT ATTACHED".
Inashangaza wakati kwenye academic and proffessional qualifications nimeattach vyeti vyote.
Mnadhani tatizo ni nini?
La tangazo la kazi, usaili, placement au pdf la jarida?kuna pdf uko
Achana na huyu chiziLa tangazo la kazi, usaili, placement au pdf la jarida?
😄Utumishi katika default mode yao,
Foolish kabisa haya majamaa
HatariMambo mazito sanaaaa[emoji848][emoji848][emoji848]
Mimi pia jumanne tuu nimepiga oral ila Leo hawajaniita kwenye usaili wameniandikia NOT SHORTLISTED CSE CERTIFICATE ARE NOT CERTIFIED wakati Tangia day one vyeti vyangu vyote nimecertified na interview zote huaga wananiitaga,,,,,,Naomba mwenye namba zao anisaidiee niwapigieKuna kazi niliomba, status inasoma " not shortlisted, CERTIFICATE NOT ATTACHED".
Inashangaza wakati kwenye academic and proffessional qualifications nimeattach vyeti vyote.
Mnadhani tatizo ni nini?
Linaweza kutokaLeo kama vle Kuna pdf
We jamaa unakuwaga na shida gani ??washatoa pdf uko
Sure, ndio mbinu ya mtafutajiHakikisha unaomba nafasi yeyote ile utakayokuwa na sifa.
Hakikisha unahudhuria usahili endapo ukiitwa.
Usikate tamaa.
bora wangekua wanakaa kimya tu..Sekretarieti wanadai matokeo yatakuwa yanatolewa ndani ya muda mfupi sana
Hii ni Kwa usaili wa written Tu?Sekretarieti wanadai matokeo yatakuwa yanatolewa ndani ya muda mfupi sana
katibu si yupo tbc anapromote mfumo wa kidigitaliLeo kama vle Kuna pdf