Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sekretarieti wanadai matokeo yatakuwa yanatolewa ndani ya muda mfupi sana
Cha zaidi Jamaa anazingatia per diem yake Inaingia mfukoni akizunguka vyombo vyote vya habari hakuna jipya hapo....
Hii Taasisi sio ya yakujitangaza kama vile wanakusanya kodi....
Hii Taasisi inatakiwa ni kuonyesha vitendo tu itajibrand yenyewe na sifa zitakuwa nyingi watapewa...Wanakera tu watu
 
Malalamiko ya wengi sio,
Matokeo ya written / practical kuchelewa au kuwahi...
Malalamiko ni kuwa,
Inakuaje placement zinachelewa wakati tangazo la ajira linajielewa kuwa nafasi kadhaa zinahitaji watu?
Hapa ndipo kwenye ukakasi..
 
Malalamiko ya wengi sio,
Matokeo ya written / practical kuchelewa au kuwahi...
Malalamiko ni kuwa,
Inakuaje placement zinachelewa wakati tangazo la ajira linajielewa kuwa nafasi kadhaa zinahitaji watu?
Hapa ndipo kwenye ukakasi..
Wanajifanya hawajui
 
Daaah siku ndio imeshaisha hiyo placement haina kimuli muli. Jobless tunapigwa kila kona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…